JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilidhani ukishakuwa Mzee kama Mimi, basi stress zitapungua hivyo utapumzika tatizo la kukosa usingizi kwa mawazo

Kumbe hata suala la kukosa Kiko nalo linafanya stress ziwe juu na usingizi kukosekana kabisa 🤪

03:10AM

Lindo liko salama mikononi mwa Wazee 🤗
 
Back
Top Bottom