Mwanamke akiwa na miaka chini ya 25 huwa hajui nini anataka
Niaje lafamilia,hapa jf familia kubwa pekee inapatikana Usiku wa Manane,yes chimbo kubwa kabisa la jf
Wadau wataalamu wa saikolojia wanasema mtoto wa kike hata akiwa na miaka 9 anaweza kuiangalia familia,na haya sio mageni,kama ni mfuatiliaji wa matukio huko Makete kuna watoto wadogo kabisa walikuwa wanaangalia familia baada ya mama au baba kuwa mgonjwa
Ila pamoja na hayo mtoto huyu anauwezo wa kuhandle familia na kufanya majukumu kadhaa lakini bado atakuwa hajui nini anachotaka
Inasemwa mwanamke akifikia miaka 25 ndio anakuwa matured na kujua nini anataka,kwahiyo sio unakuwa na kabinti chini ya miaka 25 let's 22 huko halafu kakifika 25 kakianza kubadilika unaanza kulalamika "demu wangu siku hizi simuelewi elewi naona kabadilika" yes kabadilika kwakuwa ndio wakati umefika sasa na HAKUNA KITU UTAMFANYA
Ila for boys akifika miaka 21 hapo sasa anaweza hata kuhandle familia vizuri
Alamsiki!