The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,752
- 17,436
Aikooooooo! Isiwe ghafla sana.. yule mbaba atarudisha moyo lakini.saivi tegemeo letu ni wew😪
Aikooooooo! Isiwe ghafla sana.. yule mbaba atarudisha moyo lakini.saivi tegemeo letu ni wew😪
😅😅😅 Walah nimecheka sana,,, hebu na wew shangaa, kutaniwa kidogo tu kanuna mazima hajui kama wengine ni malast born😪Tresor Mandala Sio vizuri kuwafanyia watoto hivi... Mtu Gani huwezi cheza na watoto 😂😂😂
asirudishe tu sisi tupo kwako saivi, mpaka utuchoke tutakua tumepata kazi mimi na Abuju bujuAikooooooo! Isiwe ghafla sana.. yule mbaba atarudisha moyo lakini.
Ombea fake ake akutumie, inaonekana hela yake ni tamuasirudishe tu sisi tupo kwako saivi, mpaka utuchoke tutakua tumepata kazi mimi na Abuju buju
kamanda tuendelee na majukumu ya TaifaTresor Mandala Sio vizuri kuwafanyia watoto hivi... Mtu Gani huwezi cheza na watoto 😂😂😂
Usharudi kutoka kwenye kipaimara?kamanda tuendelee na majukumu ya Taifa
leo jumatatu, Majukumu yanaendeleaUsharudi kutoka kwenye kipaimara?
Nakubali Proffesorleo jumatatu, Majukumu yanaendelea
hahahahaha, mie sio profNakubali Proffesor
Proffesor ni jina analopewa mtu mwenye heshima zake kama wewe.hahahahaha, mie sio prof
hahahahahahahaProffesor ni jina analopewa mtu mwenye heshima zake kama wewe.
😅😅siwezi kuishi bila ninyii😘
eeh asavali umekuja huuuuh ngoja nifute machozi nilikua nishaanza kulia😥😅😅
Pole maa 😢😢😢eeh asavali umekuja huuuuh ngoja nifute machozi nilikua nishaanza kulia😥
as long ushafika hata haina haja ya pole, hapa ni tunatakiwa kuzogoaaa tu ili nisikae kinyongePole maa 😢😢😢