JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

pombe, alienda kulewa akaanza kutufokea na kuturingishia midola anayo miliki, tumekuita sana mimi na ephen ila hauku tokea😪, ungekuja kumshuhudia ndugu yako😅😅

Msg ya laki 9 ameifuta?

kapita,, alisema nitakula huko kwa mshauri wangu, wakati mshauri mwenyew hana mia mbovu,, saivi tegemeo letu ni wew😪
Tresor Mandala Sio vizuri kuwafanyia watoto hivi... Mtu Gani huwezi cheza na watoto 😂😂😂
 
Back
Top Bottom