win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,332
- 35,088
ndio mi nishazoea kunywa chai kwahiyo natesekaga mnoo ikifika asubuhi😥Haya ndio mambo anayokataa dokta Janabi
anasema hakuna anayeamka asubuhi na njaaa,ila ni mazoea tu ya kunywa chai
ndio mi nishazoea kunywa chai kwahiyo natesekaga mnoo ikifika asubuhi😥Haya ndio mambo anayokataa dokta Janabi
anasema hakuna anayeamka asubuhi na njaaa,ila ni mazoea tu ya kunywa chai
janabi atuache bwanandio mi nishazoea kunywa chai kwahiyo natesekaga mnoo ikifika asubuhi😥
kabisaa na atukomejanabi atuache bwana
Poa baadae wa kishua,uwe na siku njemakabisaa na atukome
kwako pia tajiri wa goba, harakati njemaPoa baadae wa kishua,uwe na siku njema
hahahhahaha jana night nilikua busy airport ndio nashika simu muda huuTresor Mandala jana mikwala mingi naona pumzi ilikata mapema,alikuwa mkali wa night kali peke yake...loaded
Bonjourvisa ipi
wew si ulituaga upo kwenye ulabu wa pombehahahhahaha jana night nilikua busy airport ndio nashika simu muda huu
Muache alale huyo, unataka akeshe aharibu urembo wake?sawa hamna shida, usipo elewa utaniuliza
hii ndo mara ya kwanza nakuona umedata seriously kwa mrembo wa JF kule kwingine ulikuaga unatania😄😄,,Muache alale huyo, unataka akeshe aharibu urembo wake?
kuna mshikaji alikua anatoka mwanza ilibidi nimfuatewew si ulituaga upo kwenye ulabu wa pombe
sawa hamna shidakuna mshikaji alikua anatoka mwanza ilibidi nimfuate
poasawa hamna shida
Mamb baby 👶wakuu njoeni tuchart nina muda
poaa dear,, ila si ungetoa hako ka bby kenye soother kwa kinywa😏Mamb baby 👶
Si unakaribia kuleta kama haka jamani 😊poaa dear,, ila si ungetoa hako ka bby kenye soother kwa kinywa😏
kangu katakua na nywele kichwa kizima ila hako kako kana uwalaza😆 mi sikatakiSi unakaribia kuleta kama haka jamani 😊