Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,241
- 98,131
Muda wa mapambano huu kuanza
muda wa kulaza mshale unakaribia sasa...
Muda wa mapambano huu kuanza
muda wa kulaza mshale unakaribia sasa...
We wa kishua usibishelaiti ungejua ambavyo mimi sio wa kishua hata usinge kuwa unajihangaisha kuniita hivyo🤣
nimeagiza mshikaki wa shingo unauzwa mia 3
Hiyo mnawezana wewe na Fake P, juzi kati mlipelekeshana hatari, unamwambia kaza kamanda🤣🤣🤣Muda wa mapambano huu kuanza
Hahahahaha,we endelea kuchukua ushauri wake na kumuaniniif unafiq was a person😅😅
Hahahaha,sie watu pori ,tuvumilie Mkuu,muda wetu ukifika, KaribuHiyo mnawezana wewe na Fake P, juzi kati mlipelekeshana hatari, unamwambia kaza kamanda🤣🤣🤣
Kwa jibu hili ,Wewe ni real GT ,hongera sanaSI kila vita inahitaji majibu,vingine vinahitaji kuachwa
Nikishtuka night kali nitakuja kuwachekiHahahaha,sie watu pori ,tuvumilie Mkuu,muda wetu ukifika, Karibu
Sawa sawa ,MkuuNikishtuka night kali nitakuja kuwacheki
hapa unaandika chochote tu unacho jiskia au ukipata rafiki mnaweza kuchart ili kupoteza mdaHapa ndo papoje sasa
Ngoja nipitie comments za nyumahapa unaandika chochote tu unacho jiskia au ukipata rafiki mnaweza kuchart ili kupoteza mda
NB, huku ni peace sana hakuna ugomvi wala maneno ya ajabu we live as a family utani kama wote
sawa hamna shida, usipo elewa utaniulizaNgoja nipitie comments za nyuma
Huku naona hamalalisawa hamna shida, usipo elewa utaniuliza
ndio tunagawana shift tuHuku naona hamalali
Mpaka rahaaaaaaandio tunagawana shift tu
karibu kwenye ulimwengu wa raha😆😆Mpaka rahaaaaaaa