JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

😂 Kichekesho cha Leo
Mwalimu akamuuliza mwanafunzi:
Mwalimu: Kwa nini umechelewa shule?
Mwanafunzi: Nilikuwa naota niko safarini, mwalimu.
Mwalimu: Sasa hiyo inahusikaje na kuchelewa?
Mwanafunzi: Nilipofika airport nikakuta ndege imeondoka! 😂✈️
Moral: Usipambane na usingizi ukiwa na safari muhimu. 😅
 
Back
Top Bottom