Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,386
- 98,516
Mpambe uko vzr, acha mie nikaangalie mpira tu ,week end njemaUnataka awe analala peke yake? Mimi nataka walale wote kila siku wakumbatiane
Mpambe uko vzr, acha mie nikaangalie mpira tu ,week end njemaUnataka awe analala peke yake? Mimi nataka walale wote kila siku wakumbatiane
Habari za kuoa ulikua unachana mkeka sasa. Dogo hatakiwi kupata stress za wenza mapema... Haya tuendeleeUnataka awe analala peke yake? Mimi nataka walale wote kila siku wakumbatiane
hauwezi kuandika vizuri hivi alaf nikakunyima ka kopa 🥰,,, hebu chukua hii kwanza nikipata nyingine nitakugawia💕Unataka awe analala peke yake? Mimi nataka walale wote kila siku wakumbatiane
homeG hautaki nisanuliwe?Habari za kuoa ulikua unachana mkeka sasa. Dogo hatakiwi kupata stress za wenza mapema... Haya tuendelee
Akishikwa shati na mke mwenza utamtetea?Habari za kuoa ulikua unachana mkeka sasa. Dogo hatakiwi kupata stress za wenza mapema... Haya tuendelee
😅😅😅😅 hii nimeibeba hata kwenye maisha ya badaeKikubwa asikufanye ujihoji thamani yako kwake... Mstari ni Moja ila unajaza kurasa tano huo 😂😂😂
eh aje hapa ajibuAkishikwa shati na mke mwenza utamtetea?
It rains everywhere home g ...😂😂 Usiskilize sana Bora uonehomeG hautaki nisanuliwe?
Anataka kukuponza! Wakati yeye ana wa kwake wa peke yake anajilia vyake kwa raha zake.eh aje hapa ajibu
😆😆😆 aloooondo majibu yake akizidisha sana utaona "hahahaha",, sijui ni uvivu wa kuandika au jeuri
hahahahaha, ila ukweli mmejua KUNIMALIZA dah, na sign out kinyonge sana,yaani mchana MKEKA halafu mkachoma na MOTOHabari za kuoa ulikua unachana mkeka sasa. Dogo hatakiwi kupata stress za wenza mapema... Haya tuendelee
nisingeweza kufanya hivyo, ila kwakua ushasikia ushauri wa mshauri sasa😅😅😅😅 hii nimeibeba hata kwenye maisha ya badae
Akishikwa shati na mke mwenza utamtetea?
Ndio nataka ili jeshi la uokozi liingie vizuri bila maneno ya ukandamizaji wa Haki😂😂😂.eh aje hapa ajibu
aagh nishamalizwa live haina hata ya kujibueh aje hapa ajibu
😂😂😂 Hapana general utarudi na nguvu ... Ushindwe wewe tu..hahahahaha, ila ukweli mmejua KUNIMALIZA dah, na sign out kinyonge sana,yaani mchana MKEKA halafu mkachoma na MOTO
ishakua jua kamanda ,acha nirudi kambini tu niangalie ustaraabu mwingine😂😂😂 Hapana general utarudi na nguvu ... Ushindwe wewe tu..
Kama kawaida yako unanichimba..😂😂 siiiiji siiiiiiiiijiiiAnataka kukuponza! Wakati yeye ana wa kwake wa peke yake anajilia vyake kwa raha zake.
umesusa? 😅aagh nishamalizwa live haina hata ya kujibu
salute kamandaKama kawaida yako unanichimba..😂😂 siiiiji siiiiiiiiijiii