sasa mie niseme nini wakati huyo ndio mshauri wako ,huwezi kumpinga😆😆😆 kumbe tayali kashapata ubavu wake, sa anataka nini tena et Tresor Mandala
mmmmh ,haya bhanaFake P nitamtia mabao ndugu yako! Unaona anavyojilegeza
saivi sikuachi tena HoMeG ni mimi na wew mpka uanze kuwa romantic😍😂😂😂😂 Home g homegggg alwaysssss ... Mliniweka mbali sana na jinsi nilivyo khaaa
Mpambe mpak unaharibu.. mambo ya kuoa sisi yanatuhusu nini bwana. Aaaargh🥹🥹Huyo ni age go! Hana maneno mengi kwanza ashaoa
unanyimwa bahati hivi hivi na wewe unaona? haya fuata ushauri huo😆😆😆😆 ilibaki kidogo huruma inibebe,, nimekaza sirudii tena
mpambe kama yuko siriazi sana eeeh,hahahahaha ,good week end kamandaMpambe mpak unaharibu.. mambo ya kuoa sisi yanatuhusu nini bwana. Aaaargh🥹🥹
kheee kwahiyo mimi ndo nikufundishe kusema "ni kweli au sio kweli, alichokisema epheni",, 😏sasa mie niseme nini wakati huyo ndio mshauri wako ,huwezi kumpinga
Usiniache kabisa mpaka kieleweke au mpaka waniue..😂😂saivi sikuachi tena HoMeG ni mimi na wew mpka uanze kuwa romantic😍
uzuri au ubaya siwezagi kujitetea au kujieeleza sana, nadhani ungekubaliana naye tu na ushauri wakekheee kwahiyo mimi ndo nikufundishe kusema "ni kweli au sio kweli, alichokisema epheni",, 😏
nani anataka kukuaa kamanda wanguUsiniache kabisa mpaka kieleweke au mpaka waniue..😂😂
kwahiyo tunatakiwa kuzingatia nini sisy😅Mpambe mpak unaharibu.. mambo ya kuoa sisi yanatuhusu nini bwana. Aaaargh🥹🥹
ayauzuri au ubaya siwezagi kujitetea au kujieeleza sana, nadhani ungekubaliana naye tu na ushauri wake
poa
wakukuaa hayupo labda Mungu apende, vinginevyo watatangulia wao🥰Usiniache kabisa mpaka kieleweke au mpaka waniue..😂😂
General nimewaambia Hawa wanaotaka kuniona nikiwa romantic ..ili Hali yoyote ikitokea waendelee kweli nami 😂nani anataka kukuaa kamanda wangu
hahahahaha,KamandaGeneral nimewaambia Hawa wanaotaka kuniona nikiwa romantic ..ili Hali yoyote ikitokea waendelee kweli nami 😂
Kikubwa asikufanye ujihoji thamani yako kwake... Mstari ni Moja ila unajaza kurasa tano huo 😂😂😂kwahiyo tunatakiwa kuzingatia nini sisy😅
Unataka awe analala peke yake? Mimi nataka walale wote kila siku wakumbatianeMpambe mpak unaharibu.. mambo ya kuoa sisi yanatuhusu nini bwana. Aaaargh🥹🥹
kamanda baadae acha niangalie mpira wa mnyamaKikubwa asikufanye ujihoji thamani yako kwake... Mstari ni Moja ila unajaza kurasa tano huo 😂😂😂