Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,356
- 98,456
kumbe mie cartoon wako eeh,dah haya kama nafurahishahata sijui ila unanifurahisha
kumbe mie cartoon wako eeh,dah haya kama nafurahishahata sijui ila unanifurahisha
Mchana huu Uzi nakuaga siuoni kabisa mnaufichaga wapi mpk muamue kuupandisha wenyewe..🥹🥹😅😅😅 mi nishazoea kuharibu utaratibu kama saivi natamani kuuamsha huu uzi
njoo basi tunong'onezane HoMeG😊
huwa tunautafuta kwenye makabati mpaka tunaupata😆😆,,,Mchana huu Uzi nakuaga siuoni kabisa mnaufichaga wapi mpk muamue kuupandisha wenyewe..🥹🥹
eishiiiiii mi sijasema wew ni katunikumbe mie cartoon wako eeh,dah haya kama nafurahisha
oooh ok enjoy life is too short si unaelewani kweli nikipata upenyo na ki senti kipo nagonga kdg kupunguza mawazo
Basi Mimi nilikua nautafutia kule MMU kumbe unamilikiwa chitchat😂😂huwa tunautafuta kwenye makabati mpaka tunaupata😆😆,,,
na mmiliki mkuu kwa sasa ni mimi😆😆, ila ni mchana alf jioni ni yule kijana wa uturuki, usiku tunakuachia wew hapo😆Basi Mimi nilikua nautafutia kule MMU kumbe unamilikiwa chitchat😂😂
hahahahahahaeishiiiiii mi sijasema wew ni katuni
kwanini umebold hilo nenohahahahahaha
sawa sawaoooh ok enjoy life is too short si unaelewa
nimelipendakwanini umebold hilo neno
Nimekaa nashindwa kupumua vizuriumeona eeh mi pia najua ni utani
Usiku ni general tresor, ila Mimi na mtaachana tunatokea pembeni na Dosho akiwa anaibia ibiahuwa tunautafuta kwenye makabati mpaka tunaupata😆😆,,,
team popo hiyo, mida yetu bado kamanda ujueUsiku ni general tresor, ila Mimi na mtaachana tunatokea pembeni na Dosho akiwa anaibia ibia
legeza mwili ,usisahauUkishanza kuona tu " Take cover" au "loaded" ujue kumekucha kwa Fake P
anakua kikazi zaidiAnanichekeshaga na kauli zake za kibabe
Hapo giza likianza kuingia huko aliko mida ya saa 9 usiku 😁legeza mwili ,usisahau
Precisely,😂😂😂 Hutaki nione unavyobebishwa na home g hapo? Utakinti he?team popo hiyo, mida yetu bado kamanda ujue