win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,210
- 34,816
ooh tusaidizane maana pekeangu siwezikuamsha
ooh tusaidizane maana pekeangu siwezikuamsha
sawaooh tusaidizane maana pekeangu siwezi
sio wakishua ila hizo mambo hazipatikani kijijini kwetu ndo maana kwangu ni jambo jipyawakishua
We acha tu,😅😅😅 madako yako wew kijana mdogo
ulifichwa wapi tena maan unaonekana kwa,manati sikwizi
kwani na nyie wanaume huwa mna hapo kati😎We acha tu,
Mambo yalikuwa magumu hapo kati nikaishiwa bando,
Nikaona isiwe kesi ngoja nitumie "tuzo point" zangu niweze kurudi JF.
kuna mtu kaniudhi asubuhi ila saivi hasira zimeisha😅Nisumilie sasa nimefika
Kakufanya nini huyo, tukamdunde au 😁kuna mtu kaniudhi asubuhi ila saivi hasira zimeisha😅
mi nguvu za kudunda mtu hata sina labda tumtete hapa alf yaishe😅😅Kakufanya nini huyo, tukamdunde au 😁
Lete maneno tumseme huyo mjinga 😁mi nguvu za kudunda mtu hata sina labda tumtete hapa alf yaishe😅😅
saivi hasira zimeisha😅Lete maneno tumseme huyo mjinga 😁
hapana siwezi hata siku kukutapika, ila nakumbuka uliniambia nikae mbali kdgTresor Mandala kwanini umenitapika😏
Mpige hata kofi la mgongosaivi hasira zimeisha😅
mwaya nilitaka uje tuchart tu😊
nimekwambia hivyo lini?hapana siwezi hata siku kukutapika, ila nakumbuka uliniambia nikae mbali kdg
hayupo karibu😅 ningemrukia kama spider manMpige hata kofi la mgongo
duhhayupo karibu😅 ningemrukia kama spider man
Sijakufundisha hivyo sitaki natakanimekwambia hivyo lini?
nakumbuka hivyo, tuko pamojanimekwambia hivyo lini?