Hahaha kazi zipo nyingi night inategemeaKazi za usiku... Usiku hakunanga mrembo wote ma bro
Nahisi kutakua kuna kasharabaro kanamlaghai uko chobisiTunajua unapotaka kwenda...
ndo naenda hivyo, byeee kipenz uwe na wakati mwema😘Tunajua unapotaka kwenda...
Mbn mapema sanando naenda hivyo, byeee kipenz uwe na wakati mwema😘
0043 🤣🤣🤣🤣 hom g..anyway ka njemando naenda hivyo, byeee kipenz uwe na wakati mwema😘
Sasa veep bro tumebaki wawili0043 🤣🤣🤣🤣 hom g..anyway ka njema
0051 Kazi kazi bro the easiest day was yesterdaySasa veep bro tumebaki wawili
01010051 Kazi kazi bro the easiest day was yesterday
KAZI kweli kweliAisee.
In a crocodile party, a wise monkey sits near the tree because anything can happenThis is Mamba 24
We live our life men
YBWYB
Hivi Dada yangu Joanah ndio kapotea kabisa? Ule uzi wake wa mwisho umenitia wasiwasi.
Njoo Montana ,Millenium towernimechoka ila sitamani kulala
Atarudi salama!
Umeona sasa umuhimu wa kua na namba za baadhi ya members? Ungekua na namba yake ungemjulia hali
muda bado sanaTunajua unapotaka kwenda...
Kwahiyo umewasiliana nae sio?
Au itakua sijakuelewa? Coz huu uzee unaniijia kwa kasi ya ajabu sana,kila muda nasinzia tu kama teja.