JamiiForums Usiku wa manane

Guner yule ni Kichaa aliyekataliwa mpaka na matibabu,yani matibabu yamesema huyu hatibiki hatumuwezi.
Unamtafuta maneno😂
Hapo anadhurura jukwaani anatafuta mtu wa kugombana nae.

Mimi alinitukana jukwaani sikumjibu, nikakuta kanitumia pm za matusi sikumjibu baadae akaniuliza "mbona kimya hujibu chochote"🤣 Hapo nikahitimisha yule ni mwendawazimu de Gunner
 
Aje tu,mimi napenda ugomvi kuliko kula,

Uwendawazimu wake unakolezwa na maisha magumu anayo yapitia,kajamaa kanaonekana kanashindia Popcorn na juice ya miwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…