🙄Pole kwa mfadhaiko dada mkuu a.k.a deputy parent...nikamwambia oooh sawa, sasa hapo nyumban kuna kijana ambae anasaida kazi ndog ndogo za kiume ni cousin kwahiyo nikamuuliza je flani yupo akasema hapana kaenda kwao kusalimia ila hajarudi, eeh nikamwambia poleni kwahiyo mmenda shule mkafunga nyumba, akanambia hapana baby alibaki (yani huyo bby ni mtoto wa class one) nikamuuliza sababu nini kasema et alisema anaumwa kikohozi, yan nikajikuta roho inauma how come kitoto cha miaka mitano kibaki pekeake nyumbani wakati ule mji ni mkubwa mi mwenyew siwezagi kubaki pekeangu😔,, nikaanza kuwaza na ujinga what if tatizo lingemkuta huyo baby ndo angekoswa msaada kabisa?!,, basi tukaongea vitu vingine nikamuaga then nikakata simu,
story imeishia hapo na moyo wangu ndo umeugulia maumivu kwa style hiyo hii yote ni kwasababu kumbukumb za matukio ya ajabu yameniijia akilini mwangu
Unapenda kudeka wewe khaaa..usichelewe sana basi maan unaweza kufikiria mpka kesho😅😅😅
😂😂😂 We mzee Kuwa na aibu kidogo basi.. wakubwa zake tupoGiza limeanza kuingia, njoo
jamani😅😅😅😅 kipi kimekufanya useme hivyo?,, maaan nadeka kweli ila sio humu😜Unapenda kudeka wewe khaaa..
mzee anataka kuniharibu😅😅😂😂😂 We mzee Kuwa na aibu kidogo basi.. wakubwa zake tupo
Maneno tu 🤗🤣🤣. Hata usiogope humu pia wadekezaji wa kila rika wapo live online..jamani😅😅😅😅 kipi kimekufanya useme hivyo?,, maaan nadeka kweli ila sio humu😜
mfano mzuri ni huyu jirani yangu kutoka jiji la miamba dosho12 hapa bado Tajiri wa goba hajafika baba huruma😄😄Maneno tu 🤗🤣🤣. Hata usiogope humu pia wadekezaji wa kila rika wapo live online..
Ah! Mi sijawahi kudeka bwana unaniaingizia😅mfano mzuri ni huyu jirani yangu kutoka jiji la miamba dosho12 hapa bado Tajiri wa goba hajafika baba huruma😄😄
hahahahahahaManeno tu 🤗🤣🤣. Hata usiogope humu pia wadekezaji wa kila rika wapo live online..
haujawah kudeka ila unadekeza😄Ah! Mi sijawahi kudeka bwana unaniaingizia😅
nalala saivi, sitaki kuvunja ahadi, usije ukakwazika bure☺️.......
21:32EAT
20:32CAT
We piga story mie napendaga hivi ujuenalala saivi, sitaki kuvunja ahadi, usije ukakwazika bure☺️
😄 unapendaga nini ili na mimi nianze kupendaWe piga story mie napendaga hivi ujue
Yeeees.. enjoy crew yako home g.. naona umezungukwa na ma rich/don midekezo ... Aa laik dat🤣🤣mfano mzuri ni huyu jirani yangu kutoka jiji la miamba dosho12 hapa bado Tajiri wa goba hajafika baba huruma😄😄
Miongoni mwao ni mimiManeno tu 🤗🤣🤣. Hata usiogope humu pia wadekezaji wa kila rika wapo live online..
Hupendi kudekezwa kwani 😁haujawah kudeka ila unadekeza😄