Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,580
Mke mbwa na mume mbwa,mke Atoka na house boy na mume atoka na house girl,daadeki!
Hakika ulimwengu wa mapenzi hauta acha kutushangaza mpaka pale dunia itakapo fikia tamati
Naam ni mke na mume ambao kama kawaida machoni mwa watu ukiwaona utajua wanapendana na wapo clean,lakini nyuma ya pazia ni mbwa,yes ni mbwa wawili wanaishi nyumba moja
Mchongo uko hivi, hapo awali mke alionekana yupo clean baada ya simu yake kuchunguzwa lakini mchezo ulivyokuja kubadilika hakuamini macho yake
Bwana alichekiwa akakutwa hayupo clean,just a simple meseji ilitosha kabisa kumuweka kwenye mahakama ya usaliti wa mapenzi
Meseji inasema hivi "usisahau kumeza p2" ikimtaarifu dada wa kazi afanye hivyo,dada huyu ni mama wa watoto watatu ambaye kwa mujibu wa mke ni mdada ambaye alikabidhiwa na pastor amasaidie maisha yake yalikuwa magumu akiuza uji huko mji fulani
Wanandoa hawa wana mtoto mmoja tayar na mwingine ako kwa tumbo 4 months pregnant
So kilichomponza mke ni kumpigia dada wa kazi aje pale road athibitishe ule msala,kweli chap dada kafika pale,akaambiwa na mke "je nilikuchukua kwangu kwa kazi gani?"
Akajibu "kupika,kufua,kufanya usafi na kumlea mtoto" akaulizwa tena "je ni vitu gani hizo unafanya na mume wangu?"
Akajifanya hajui,akaambiwa usijfanye hujui kuna meseji za mume wangu ulikuwa ukichati nae,tena akakumbushwa na mke "je si nilikwambiaga usiongee chochote na mume wangu?"
Akasomewa meseji pale ingawa bado akawa anabisha,alipozidi kusakamwa akaona isiwe tabu,akafungua file la huyu mke, akasema "we nawe mbona unatembea na fulani" je unafikiri sikuonagi?
Huwa anakujaga chumbani kwako, hapo mke akajaribu kuplay clean,akajibu "alikuja kuweta balbu"
Mume akasema ni balbu gani hiyo,kwanini hukuniambia mimi niweke? Mpaka hapo kama ni gari basi ujue limegonga watu kwenye alama ya wapita kwa miguu/zebra
Mume nae akaona isiwe tabu,chap kamcall caretaker akimtaka aje kwa road,dogo kaja,akaulizwa uliingia chumbani kwa mke wangu kufanya nini? Chalii akasema hapana hajawahi kuingia chumbani humo
Dada wa kazi akasema si mara moja huwakuta wakiwa kitandani,na akaendelea kusema "mara nyingi dada akirudi tu hunituma dukani na huku nyuma wanafanya mambo yao"
Hapo sasa mke akafungua file jipya kabisa,akasema kumwambia .mume wake "wewe mwenyewe huna nguvu za kiume,kajitibie nguvu hizo"
Mke akaendelea kusema " mtu mwenyewe huna nguvu za.kiume lakini bado nimekubebea mimba"
Dada wa kazi nae akaona leo kama kuharibu niharibu tu,akasema "hata mimba yenyewe hiyo si ya mume wako ni ya caretaker/house boy"
Mke akaendelea kusisitiza kuwa mume wake hana nguvu za kiume,mume akasema "hata kama sina nguvu ya kiume ndio utembee na huyu kijana?" Umeshindwa kutembea na mtu mwingine yeyote yule isipokuwa huyu?
Jamani ndoa hizi ni mtihani sana,lakini tuendelee kuoa na kuolewa tu mambo mengine tutayakuta mbele kwa mbele
View: https://youtu.be/0OakTrwynNA?si=XyJBdCWt46y8GRVA
Ishi na mke au mume wako ukijua naye ni binadamu lolote laweza kutokea,usimpe utakatifu hii itakusaidia kama bahati mbaya likitokea la kutokea walau utakuwa umelijua hili na kupunguza maumivu makubwa.
Alamsiki