JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

nani kasema nitaumbuka?, yani aibu utaona wew kazi yangu itakua kula tu😆😆 tumbo langu ni la mpira huvutika na kusinyaa
Tunaenda kiwanja ambacho,kwanza tunaanza na starch tuna worm tumbo kwanza,soup ya uyoga,salad kidogo na udambwi Flav hivi,sasa msosi wenyewe bado

Sasa ukila kama ndio unakula ujue msosi kamili ukija utakuwa umeshiba,halafu utajifanya unajisikia vibaya kumbe roho inakuuma imekuja menu ya kufa mtu halafu ndio ushashiba sasa🤣🤣
 
we haunijui ndo maana, hivi kitu kama soup ya uyoga na vi salad ndo vyakunifanya nishibe?,, hivyo ni kama vinafungua njia ya kupitisha chakula,,

mi naisubiri hiyo siku tu ili ujionee kwa macho sio kusimuliwa tena😉😄😄
 
Back
Top Bottom