Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,099
- 84,562
Kuna tende, peanut za mboga,dagaa na dairy milk.. maharage yameganda😁Kama ni karoti na ndizi, ni Tulsa😁
Kuna tende, peanut za mboga,dagaa na dairy milk.. maharage yameganda😁Kama ni karoti na ndizi, ni Tulsa😁
Wapi hiyo?Var ya bongo ishanasa
Imenasa neno moto badala ya moyo 😀Wapi hiyo?
Utakuwa unatumia sana neno moto kwenye mazungumzo yako😁Imenasa neno moto badala ya moyo 😀
Labla 🔥Utakuwa unatumia sana neno moto kwneye mazungumzo yako😁
Baba labla anatrend tu 🤣Labla 🔥
Kuna nini mamnyo?03:10
Bado naendelea kujuta😣
Si nilijifanya bingwa wa kukojoa nikaamka bana😔Kuna nini mamnyo?
Kabisa📌0313
Usiruhusu maisha yako yaliyopita yakaalibu maisha yako ya baadae
😁ikawajeSi nilijifanya bingwa wa kukojoa nikaamka bana😔
Weee jamaa inamaana mpaka seran umemfungia GPS ya mbege 🖐️Kuna nini mamnyo?
Endelea kusubiri teuzi03:10
Bado naendelea kujuta😣
Kwa nini mkuu?Weee jamaa inamaana mpaka seran umemfungia GPS ya mbege 🖐️
Here I am😁ikawaje
Kwanini jamani😁Weee jamaa inamaana mpaka seran umemfungia GPS ya mbege 🖐️
Teuzi za nini tena mjumbeEndelea kusubiri teuzi
Hahaha Pole,si unywe hata bia mbili hapoHere I am
No sleep😞