Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,936
- 6,558
Umejuaje kwamba bidada ana shido na umekuja chapu kwa harakaKwa nini mkuu?
Umejuaje kwamba bidada ana shido na umekuja chapu kwa harakaKwa nini mkuu?
Sina kitu mzee😣Hahaha Pole,si unywe hata bia mbili hapo
Uwe ata dc katika wilaya mojaTeuzi za nini tena mjumbe
😁 yeah uki mfollow mtu notifications zake unazipata chapu kwa haraka bwasheeUmejuaje kwamba bidada ana shido na umekuja chapu kwa haraka
Au soma biblia usingizi utakuja chapSina kitu mzee😣
Nilikua nashindwa kuwelewaa 😁 sasa ngoja na mm niwafollow nisipitwe na kitu😁 yeah uki mfollow mtu notifications zake unazipata chapu kwa haraka bwashee
NomaNilikua nashindwa kuwelewaa 😁 sasa ngoja na mm niwafollow nisipitwe na kitu
Leo huna series kabisa ukaachana na ugali03:20
Au nisonge kaugali🤔
Unanitisha bwana! Niwe dc ili iweje?Uwe ata dc katika wilaya moja
Thanks for education sirNoma
Sitaki mwanga mkali mimiAu soma biblia usingizi utakuja chap
Nimeangalia sana nimechokaLeo huna series kabisa ukaachana na ugali
Kufoka foka unawezaUnanitisha bwana! Niwe dc ili iweje?
Naweza ila sio hovyohovyoKufoka foka unaweza
Basi anza kukemea mapepo yapo shift saiziNimeangalia sana nimechoka
DC kashindwa kupewa kichwa mviringo sembuse sUwe ata dc katika wilaya moja
Muda ushaisha🌝Basi anza kukemea mapepo yapo shift saizi
Aah uwezoDC kashindwa kupewa kichwa mviringo sembuse s
Basi anza kuwaza madeni unayodai na kudaiwa usingizi utakuja tu alafu unaamka na weekendMuda ushaisha🌝