Heka heka zangu nadhan mnazijua.. .. funguo uwe unaweka hapo chini ya dormat tu 🤣🤣mi pia nitakumis jamni😪 ila na mimi nalala sio mda, hapa namsubiri sisy Fake P nimpe funguo alf niondoke zangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika wewe ni nabii babaaUyo Fake P nimemwona anaelekea kwenye send-off, hapo akiludi hewani yupo nzwiii
Home g unawahi sana na haraka haraka .🤣🤣🤣da rain Fake P hata hauji mi nataka kulala bhamole😪
Ameen, Keep smiling 😁Heka heka zangu nadhan mnazijua.. .. funguo uwe unaweka hapo chini ya dormat tu 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika wewe ni nabii babaa
Home g unawahi sana na haraka haraka .🤣🤣🤣
Consistency yako usiku wa manane ipo 10/10 Mkuu🫂Ameen, Keep smiling 😁
Leo nina vibe kinomaConsistency yako usiku wa manane ipo 10/10 Mkuu🫂
I can see the vibe is real vibing...keep it, No worries🤣🤣Leo nina vibe kinoma
Karibuni kiukweli leo mmetenga win alikua ameboeka sana me ndy nilikua mfaliji wakeNdo naingia
Mida ya vigagula... Welcome mateNdo naingia
Glad you're feeling the vibe 😀I can see the vibe is real vibing...keep it, No worries🤣🤣