dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,649
- 12,675
Usiharishe 😁maana huo mchanganyiko ulo kula sina imani nao kabisa😅hivi frajili inasaidia nini
Usiharishe 😁maana huo mchanganyiko ulo kula sina imani nao kabisa😅hivi frajili inasaidia nini
kheee usinambie sisy😆😆 ni wapi huko nikasome nicheke maana katoka kunambia nikampashie moto godoro lake,,Huyu mtoto ni chizi, juzi namuona sehemu anakoleza hoja zake kwamba yeye ata kneel down akiwa anamuengage mamtu wake.. pale pale yule crush wake akaniPM nione matatizo ya kijana wetu ..
dadeq😆😆😆😆😆 ngoja nipige sita za chap hapaUsiharishe 😁maana huo mchanganyiko ulo kula sina imani nao kabisa😅
yani huyuWazazi, ndugu, majirani nk.
Napenda sana mitoto ya kikurya.sasa kama haujaanza kutegemewa umejuaje kama kuna wanawake wanao wategemea wanaume ili wapate kula?
sasa si uende ukuryani ukajizolee tani yako kijanaNapenda sana mitoto ya kikurya.
Unalikuta jeusi zurii lina mkomwe huo halafu limepanda hewani.
Nyuma plate number E. Weweeh!
Nakupenda wewe Omukisa.Marhaba hujambo leloo
Ule Uzi ulikua juu juu... Unauliza nani anatakiwa kupiga goti, namuona lelo anajimaliza..kheee usinambie sisy😆😆 ni wapi huko nikasome nicheke maana katoka kunambia nikampashie moto godoro lake,,
alf huyo crush aliamua kukudodishia au vipi😆😆🤭 mbona akupiem sasa
Huyu hapewi kwanza anadeka sana..sasa si uende ukuryani ukajizolee tani yako kijana
kuuumbe huo naufaham nitaurudia siku nikitulia,, hako kaache katape tape tu bado kachanga kakikua kataacha😅😅Ule Uzi ulikua juu juu... Unauliza nani anatakiwa kupiga goti, namuona lelo anajimaliza..
Sababu anajua nampa update za kijana wake na blah blah za hapa na pale
umeona eeh sijui ni ka last born😆Huyu hapewi kwanza anadeka sana..
Anaitwa leloo, uliza mchaga mlevi yeyote ..hilo jina anapewa mtoto yupi.umeona eeh sijui ni ka last born😆
Utanikumbuka sana.win-one huu mtego, na sera zimechacha kabisa🤣🤣🤣
mshamba_hachekwi hebu njoo ujibu hapa kabla sijaenda mbali kutafuta majibuAnaitwa leloo, uliza mchaga mlevi yeyote ..hilo jina anapewa mtoto yupi.
Huyo ananipenda ila anaogopa kusema. Hujausoma mchezo?mshamba_hachekwi hebu njoo ujibu hapa kabla sijaenda mbali kutafuta majibu
Wazungu wanasema the dinner had been dinned.. farewell 🤗🤗Utanikumbuka sana.