Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,580
Jana hiyo,wewe hukutokea shazi kama lote homieSitumii huo mmea wenye laana mimi
Ila kweli nimepitia comment jana kulikua na shazi la kufa mtu au ni juzi 🤔
Au kweli nimekula mmea😅😅😅
Shazi maana yake ni nini?Situmii huo mmea wenye laana mimi
Ila kweli nimepitia comment jana kulikua na shazi la kufa mtu au ni juzi 🤔
Au kweli nimekula mmea😅😅😅
Natamani aone hii text yako akulambe makofi🤣🤣yeah niko salama,, asante kwa kujali on behalf of my stupid boyfriend😅
Duh! 😅😅 mwana anafeli wapiyeah niko salama,, asante kwa kujali on behalf of my stupid boyfriend😅
Shughuli ingeharibika homie wengine haziivi tangu wayback hukoJana hiyo,wewe hukutokea shazi kama lote homie
Yap hzo ni dalili za skanka 😁Situmii huo mmea wenye laana mimi
Ila kweli nimepitia comment jana kulikua na shazi la kufa mtu au ni juzi 🤔
Au kweli nimekula mmea😅😅😅
Labda utahitaji msahada wa kijana shupavu akukande kande mabega kuondoa hali ya uchovuhapan shem nimechoka tu nahitaji kuwahi nikapumzike
Watu wengiiiii au nyomiiiiShazi maana yake ni nini?
Okay ukimaanisha kuna watu hamuendi sawa au sioShughuli ingeharibika homie wengine haziivi tangu wayback huko
Amesema anaichukiaYap hzo ni dalili za skanka 😁
anajisahau sana,, yupo tu anaswampa kwa kisingizio cha kunitafutia pesa ya wigi😅😅😅Duh! 😅😅 mwana anafeli wapi
We uliamini kweli mzee wa kuvunja Barafu hajui huo msamiati🤣🤣Watu wengiiiii au nyomiiii
Yesu😥 sa kosa langu ni nini lakini🤣🤣Natamani aone hii text yako akulambe makofi🤣🤣
sitaki kukandwa na vijana shupavu, hapa natafuta kitita niende zangu saunaLabda utahitaji msahada wa kijana shupavu akukande kande mabega kuondoa hali ya uchovu
Nani tena 😃Natamani aone hii text yako akulambe makofi🤣🤣
Si umemnanga kwamba is stupidYesu😥 sa kosa langu ni nini lakini🤣🤣
Nimejifanya sijui kama anajua kama yeye alivyojifanya hajui 😆😆We uliamini kweli mzee wa kuvunja Barafu hajui huo msamiati🤣🤣
Shem kasema boy wake kuwa ni stupidNani tena 😃
si ndio🤣 kwan nimedanganyaSi umemnanga kwamba is stupid