Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,935
- 6,527
Bravo 👏Wadau tumekuwa na usiku mzuri sana kwakweli,big kwa kila mmoja wetu aliyekuwa nasi leo
Panapo majaliwa ni hapo kesho inshallah
NAWAPENDA WOTE
Bravo 👏Wadau tumekuwa na usiku mzuri sana kwakweli,big kwa kila mmoja wetu aliyekuwa nasi leo
Panapo majaliwa ni hapo kesho inshallah
NAWAPENDA WOTE
Aisee wapi uko unafanya hiyo biashara niwe nakuja kupata japo kipande nami Nile tunda kwa siku maana😉 Nashindwa ugali dona..😂wakumsumbua sasa hayupo,, alafu haya matikiti mimi ndo nauza,, ila saivi nipo nafungasha vilago nikalaze mbavu
KAZI unafanya saa ngapi?Nalala mara 3 kwa siku na kila mara nalala kama sijalala siku hiyo.
Usiku mwema🫶
sipo mjini kwenu gunnerAisee wapi uko unafanya hiyo biashara niwe nakuja kupata japo kipande nami Nile tunda kwa siku maana😉 Nashindwa ugali dona..😂
Kula kulalaKAZI unafanya saa ngapi?
Ooohsipo mjini kwenu gunner
Baba ake nani tenaTuambie vizuri baba yake ni mfanyakazi kiwanda Cha magodoro au Mtaalam wa dawa za usingizi propofol 🤣🤣
Uko vzr, hongeraKula kulala
Wapi huko uko?sipo mjini kwenu gunner