Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,615
- 124,611
Ww unasemea mambo ya Japan kutuzidi siku moja tuu, Ethiopia tuu hapo leo n trh 12 December 2018 sisi huku ni 18 August 2026Ertugrul Bey win-one Fake P ShesRise_1 hebu toa ufafanuzi hapa usitumie AI tumia uelewa wako
Kesho kidunia ipoje?
Tunaambiwa muda wa Tokyo upo mbele kuzidi wa Dar hivyo, sasa Tokyo ni kesho Dar ni leo, maana yake mtu wa Tokyo anayajua yaliyoyokea kesho?
Kama hajui basi hio kesho ni ya kwenye kalenda tu na sio kesho halisi kote Dar na Tokyo ni leo lakini kisaa na kikalenda ni kesho?
Tokyo 05:16AM 19th August 2026, tomorrow
Dar es Salaam 11:16PM 18th August 2026, today