ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,925
- 50,558
ππ una nini lakinihii kitu yako ya MB 9 ni nini mbona haifunguki au kwa kua natumia tecno?
sawa hamna shida nipo standby kukapokea hapo kituoniHahahaha,kanakuja kakifika Pale Mtini,atakushtua, utoke ukapokee
Swadaktasawa hamna shida nipo standby kukapokea hapo kituoni
jamni nimeuliza kwa uzuri maana hiyo kitu kwangu haifungukiπ au nimekosea yawaππ una nini lakini
πjamni nimeuliza kwa uzuri maana hiyo kitu kwangu haifungukiπ au nimekosea yawa
Nakaribia kufika,hivi hapo NJE hkn CCTV camera KWELIsawa hamna shida nipo standby kukapokea hapo kituoni
πnilikuwa sijui pole sana jirani, leo nasikia usingizi balaa naenda zangu kulala usiku mwema, nifunge mlango au unakuja πsasa mwingine mi nitamtoa wapi wakati nilikua nishamzoea kijana wa Bey na aliniahid kunipeleka uturuki nikaonane na familia yakeπͺ naumia haujui tu
Sema acha ninyamaze tu. Yaani nyani haoni ndukule kabisa.sasa huyo ndo wewπ
furaha yako unidharirishe nishakuonaπ₯΄π
kwahiyo mimi nina kundu?Sema acha ninyamaze tu. Yaani nyani haoni ndukule kabisa.
Labda network maa π₯Ήfuraha yako unidharirishe nishakuonaπ₯΄
usifunge nakuja jirani tuzungumze mstakabali wa penzi la shes na kijana wa Beyπ€πnilikuwa sijui pole sana jirani, leo nasikia usingizi balaa naenda zangu kulala usiku mwema, nifunge mlango au unakuja π
Heee! Acha nikalale zangu sitaki shida.kwahiyo mimi nina kundu?
sio network tatizo ni simπ₯, na bey ushamuacha si angeniletea Simu kutoka uturuki dahπͺLabda network maa π₯Ή
Naanzaje baby girl
na usirudi nitakuokotea mawe shiyeeeenz wewππHeee! Acha nikalale zangu sitaki shida.
πππ πββοΈπββοΈπββοΈ hivi wewe hukui tusio network tatizo ni simπ₯, na bey ushamuacha si angeniletea Simu kutoka uturuki dahπͺ
sikui mpka mrudianeππππ πββοΈπββοΈπββοΈ hivi wewe hukui tu
Win nikuondoe shaka na kuwa na amani, mi na homie wangu tupo sawa kabisa sawa mumydosho12 jirani hivi unaelewa chochote kuhusu hawa wakina romeo Ertugrul Bey na julieth ShesRise_1 unifahamishe?
Huyo ndio win bhanaπππ πββοΈπββοΈπββοΈ hivi wewe hukui tu