MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,746
- 3,041
suti na izo moka ni mbwembwe tuu😎Umejifunza kitu gani?
suti na izo moka ni mbwembwe tuu😎Umejifunza kitu gani?
Wewe sasa ni something else..🙆🏽♀️apo asa nashindwa niiwekeje coz wote walikua wakwangu ...
Hapana, kusaka pesa ni endelevu😎suti na izo moka ni mbwembwe tuu😎
hata uyo alie baki hai uliza Kama hata najua yuko wapiWewe sasa ni something else..🙆🏽♀️
So umezika mmoja umebaki na mmoja?
aaah!sikua mbali Sana na jibu lakin😊Hapana, kusaka pesa ni endelevu😎
Nikajua yuko jela kumbe anakula good time kubadili miji🫢hata uyo alie baki hai uliza Kama hata najua yuko wapi
zaidi zaidi nasikia alikua kwenye ndoa hii mara karukia hii full mitifuano
Kwamba moka na suti ni mbwembwe?aaah!sikua mbali Sana na jibu lakin😊
asa io ni kula good time au laana inatuwinda Mimi na yeye ndomana tuko hapa 😃Nikajua yuko jela kumbe anakula good time kubadili miji🫢
eeeh!maana kuacha kuzitafuta ndo hauwezi ,till down!?Kwamba moka na suti ni mbwwmbwe?
Mko wapi😂asa io ni kula good time au laana inatuwinda Mimi na yeye ndomana tuko hapa 😃
kwaajili ya mateso yake makali ,utuhurumie sisi na dunia nzima🙏
Na kweli😅eeeh!maana kuacha kuzitafuta ndo hauwezi ,till down!?
Amen 🙏🏽kwaajili ya mateso yake makali ,utuhurumie sisi na dunia nzima🙏
hapaMko wapi😂
Muulizeni mwl wenu wa mathe😃hapa
kwani hapa ni wapi😃
umekonalia kesho keshoNa kweli😅
Oa kesho weka vzr location nije kuchotq coal sijui nazipeleka wapi!