ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,248
- 40,865
Soree kumbe ni memfanyia bullying sikujuaAcha kumbully bwana she's so loving and caring
Soree kumbe ni memfanyia bullying sikujuaAcha kumbully bwana she's so loving and caring
Thank you have a wonderful day tooohapa umenena chukua haya maua yangu ila nakugawia kidogo 💐
Mbona juniyaa🤣🤣aloooo nimelia sana,, yani unanilinganisha na juniya eleven kweli?😭
Yes, hata matani sometimes hugeuka kuwa bullying... BTW sikuwa serious too😉Soree kumbe ni memfanyia bullying sikujua
wew pia🤗Thank you have a wonderful day tooo
Usiwe na nongwa kama hawa wengine... Unanafsi nzuri sana
hauoni tabia zake ni za kijuniya juniya😅Mbona juniyaa🤣🤣
Haa😂 aisee nyie wanawake hatuwawezi kwa kwelialoooo nimelia sana,, yani unanilinganisha na juniya eleven kweli?😭
Naona Juniya ana ku protect aisee🤣hauoni tabia zake ni za kijuniya juniya😅
Yaani nimekupa mauwa yangu alafu unanigeuzia kibao tena? Kwa kweli 😂hauoni tabia zake ni za kijuniya juniya😅
Haya mjuzi wa mambo I'm out byeYes, hata matani sometimes hugeuka kuwa bullying... BTW sikuwa serious too😉
Daah aisee basi hapa sina madogo kabisa?Naona Juniya ana ku protect aisee🤣
hata sijageuza, mbona na mimi nimekugawia ya kwangu kidogo😀Yaani nimekupa mauwa yangu alafu unanigeuzia kibao tena? Kwa kweli 😂
Kuja nikakiamini sio leo wala kesho... 😔hata sijageuza, mbona na mimi nimekugawia ya kwangu kidogo😀
mi pia😅Kuja nikakiamini sio leo wala kesho... 😔
Mimi niko wazi kabisa huwa siongopei mtu.. Yaani hakuna cha kuficha.mi pia😅
Hahahaha 🤣 🙌mimi ni mpole ndio, ila sipendi kuwa chanzo cha ugomvi,,,
nimechoka kujieleza hebu niache😅😅 utakoma sasa
😂😂😂 Niache!Mimi huwa nawaambia hawa wadogo zangu wakina ephen_ win-one wasimsikilize huyu dada yao binti kiziwi ntawapo teza wanapaswa kuwa wema, wa mche Mungu na kuishi katika njia kuu ya upendo. Ila sasa natumia nguvu sana.. Labda ujaribu na wewe mkuu
Sikuachi ng'oo yaani nimekuwa crushed na wewe since 2021 alafu leo tu nikiache kirahisi namna hiyoo?😂😂😂 Niache!