Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,580
Vip ShesRise_1 umeamkaje lkn
Oooh sawa sawaMbona unaguna mkuu, natokea jirani na kawe.. so wanangu wakiwa maneneo ndio tunazurura huko!
Usijaripole, sikujua kama utapita maeneo ya huku
Omg serious 🤔Niko 40's sasa kazi kwako kufanya hesabu😂😂
Nimeamka poa homie 007Vip ShesRise_1 umeamkaje lkn
Do I look like Gen Z or something!!!Omg serious 🤔
Hahahahaunapenda nongwa eeeh😅,, haya kumekucha twende tukalianzishe maana mi nimeku sorry ili usije ukijinyonga kumbe haujakoma
Nafurahi kusikia hivyo 007, uzima ndio kila kitu homieNimeamka poa homie 007
HahahahaHahahaha
Nilikuaga nakuona kapole ila jana ulijitutumua sana... 🤣 Achana nayo, usiwaige kina Lamomy sawa. Si unaona mpaka uliomba msamaha uliona mambo mabaya yalee
Namsaidia mdogo wetu asiharibike. Au sio mkuuHahahaha
No unaonekana tu ni mature homieDo I look like Gen Z or something
Ni kweli kabisa Mkuu,humu Kuna kufuata mkumbo,Kuna waharibifu wa tabia za watu ni vzr kuwakwepa ikiwezekanaNamsaidia mdogo wetu asiharibike. Au sio mkuu
Yeah uzima kwanza 😊Nafurahi kusikia hivyo 007, uzima ndio kila kitu homie
Mimi huwa nawaambia hawa wadogo zangu wakina ephen_ win-one wasimsikilize huyu dada yao binti kiziwi anawapo teza wanapaswa kuwa wema, wa mche Mungu na kuishi katika njia kuu ya upendo. Ila sasa natumia nguvu sana.. Labda ujaribu na wewe mkuuNi kweli kabisa Mkuu,humu Kuna kufuata mkumbo,Kuna waharibifu wa tabia za watu ni vzr kuwakwepa ikiwezekana
😂😂😂, kwahiyo unataka kuwaambia Gen Z kwamba you are not into them and should stay away from your zoneNo unaonekana tu ni mature homie
But nimependa mi sipendi ku engege na vijana wadogo mimi hua sivutiwi kabisa
Akili yangu nadhani inaweza ku deal na watu wasio na mambo mengi
Sawa kakaMimi huwa nawaambia hawa wadogo zangu wakina ephen_ win-one wasimsikilize huyu dada yao binti kiziwi ntawapo teza wanapaswa kuwa wema, wa mche Mungu na kuishi katika njia kuu ya upendo. Ila sasa natumia nguvu sana.. Labda ukaribu na wewe mkuu
Shikilia hiyo wisdom mdogo wangu feminism na ujuaji haribu wanawake na jamii iwazungukao..Sawa kaka
Sawa kakaShikilia hiyo wisdom mdogo wangu feminism na ujuaji haribu wanawake na jamii iwazungukao..
😂😂😂, kwahiyo unataka kuwaambia Gen Z kwamba you are not into them and should stay away from your zone
Omg kumbe bado ni kabint ila una akili kubwa homie, hongera sanaVijana sio watu wabaya at all homie maana hata mimi sijafika miaka 30
But honestly, sivutiwi sana nao when it comes to serious discussions or making them part of my close circle, especially vijana wa kiume
Sio kwamba nawaona vibayn hapana ni just kwamba I don't really connect with them that much😂