dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,649
- 12,674
Ila siku hizi wamepunguza kupita, nina kama miezi sita sijawasikiabasi ndo maana, mi nilikua huko zamani wakati bado niko primary badae tukawa tumehama ndo sijarudi tena kwahio ninazo kumbukumb za zamani