mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
Yaani ukiniacha uninunulie tu jeneza maana...sa kama unajisahau sanaš
sielewi elewi
Yaani ukiniacha uninunulie tu jeneza maana...sa kama unajisahau sanaš
muongo š na kesho ukajiwekee order tu maana unajisahau sanaYaani ukiniacha uninunulie tu jeneza maana...
sielewi elewi
Kitu tayari ni changu order ya nini? Ubavu wangu toka mbavuni mwangu.muongo š na kesho ukajiwekee order tu maana unajisahau sana
hay maneno umejifunzia wapi? nimepata wasiwasi ushapata mmama eeeh š¤ØKitu tayari ni changu order ya nini? Ubavu wangu toka mbavuni mwangu.
Nimekupata wewe mlingoti wangu, twiga wangu mwenye madaha.šhay maneno umejifunzia wapi? nimepata wasiwasi ushapata mmama eeeh š¤Ø
shiyeeeenzšš kwanini uniite mlingoti lakini š umenichoka sio?Nimekupata wewe mlingoti wangu, twiga wangu mwenye madaha.š
Jivunie!shiyeeeenzšš kwanini uniite mlingoti lakini š umenichoka sio?
kwani mimi ni mrefu au mlingoti?š¢Jivunie!
Wanawake warefu wanapendwa mno.
Sasa jamani mlingoti si mbao tu wala sio tusiškwani mimi ni mrefu au mlingoti?š¢
Contract haipatikini kama hivyo kijanaShesRise_1 pass me a contract udeke kwangu š
I know homie šYou know I love that š¤£š¤£
HakikaDon't gain the world and lose your soul,
Wisdom is better than silver and gold.
Babes0000plus
yes darnBabes
Naolewa diha š«£yes darn
wow hizi ni habari njema jamni am happy for youš,,, uanze kuiombea ndoa yako isipate viini machoNaolewa diha š«£