JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hello everyone one ndani ya mtaa,hope mmekuwa na gudtime na wikiend Murua kabisa

Leo bwana niwasanue wanaume wenzangu kwamba, unaweza kumuumiza mwenza wako sana tu,akaendelea kulalamika na akaendelea kubakia kwako, sasa kulalamika kwake ujue ndio usalama wako kwa maana bado mpo pamoja and she still loves you

Ila the moment ukimwona mwenza wako halalamiki tena kama zamani,yani uzingue au usizingue yeye yupo kimya tu basi ujue mjomba umekwisha,hapo ujue ameshapata option nyingine

Ni ikifikia stage hiyo basi ujue harudi nyuma,upo replaced,kuna mwenzio amepewa hisa kwenye mapenzi yako,hapo anza tu kujipanga kivingine kabisa

Kwahiyo jirekebishe mwenendo wako angali mwenza wako anapiga kelele na kulalamika,kwani hapo bado una nafasi ya kuweka mambo sawa,ila akipiga kimya tu,ujue umeumia

Hapa chini kuna kipande cha barua cha Gen Z, nimekikuta mlangoni kwa mpangaji wangu,maana nina wapangaji wawili, na mimi wa tatu, kwahiyo kwenye nyumba tupo watu watatu na wote mabachela [ingawa mimi ni bachela wa muda tu soon ntauaga ubachelo kama kule awali]

So ile naingia sebuleni tu chumba cha kwanza nakuta hiki kipisi cha barua pembeni,huenda homeboy wakati anafagia alikisahau hapo nje mlangoni,nikavutiwa kukisoma baada ya kuona muandiko wa kike,nikaona nikipige picha kitanifaa hiki kwenye content zangu,kisha nikakiacha pale mlangoni

Binti analalamika kuhusu boy wake,lakini nilipenda mstari wa mwisho,dada anasema "JE WAKATI UMELALA NAE ULINIFIKIRA KUHUSU MIMI, JE ULIKOJOA/ CUM?"

View attachment 3646550

Alamsiki!
Sawa bro 😎
 
nje ya mada, reply zangu huwa unazisoma kwa sauti gani 🤣
Sauti fulani ya kipole, unaongea taratibu, maana mara ya kwanza kuona Id yako ulikuwa na avatar ya msichana mmoja mwembamba kajishike kiuono😁
 
kitafute kicheko cha fisi ndo sauti yangu🤣 ukikipata utanambia
Najua mlio wake tu, maana huku nyasaka ni karibu na nyambiti na huko nasikia wanafuga fisi, kuna muda huwa wanapita wakilia tunasikia 😁
 
Najua mlio wake tu, maana huku nyasaka ni karibu na nyambiti na huko nasikia wanafuga fisi, kuna muda huwa wanapita wakilia tunasikia 😁
fisi wametoka wapi maana huko nyambiti nimekaa zamani mno miaka ya 2012 na sikuwahi kuwaona hao fisi jamni 😢
 
Back
Top Bottom