nataka ule unene flani hivi sijui nisemaje,, japo saivi mi sio mwambamba ila nina mfupa mzito plus huu urefu sasaπMh sio nzuri kuwa mnene sana ila kama uko serious mbona njia za kuwa mnene ni nyingi na ni kugusa tu
Anhaa kama mrefu ,basi ni hatari sana kuwa mnene hawakawii kukuita baunsanataka ule unene flani hivi sijui nisemaje,, japo saivi mi sio mwambamba ila nina mfupa mzito plus huu urefu sasaπ
hahahaha bora hata baunsa kuliko navyoitwa twigaπͺAnhaa kama mrefu ,basi ni hatari sana kuwa mnene hawakawii kukuita baunsa
Basi ujaze mwili kiasi cha kutoitwa mnene wala mwembamba ,ni mwendo wa mamisosi tu ,muda wote no kazi ngumu ,stress free ,nakupa majuma mawili utauona mwangaza ila vyakula sio magimbi na mihogo sasa .hahahaha bora hata baunsa kuliko navyoitwa twigaπͺ
kama uwezo wangu ni magimbi na mihogo nitafanyaje sasaπͺπͺBasi ujaze mwili kiasi cha kutoitwa mnene wala mwembamba ,ni mwendo wa mamisosi tu ,muda wote no kazi ngumu ,stress free ,nakupa majuma mawili utauona mwangaza ila vyakula sio magimbi na mihogo sasa .
Mh sio kweli Win .kama uwezo wangu ni magimbi na mihogo nitafanyaje sasaπͺπͺ
we unataka nifutuke sasa niwe kama nguruwe πππ ndo kula gani hiyo jamni,, kwanza kula chakula kimoja masaa mengi au kila siku kinachosha mnoMh sio kweli Win .
Basi hiyo hiyo mihogo ila ikule kila mara usiruhusu hata mara moja kuhisi njaa ,yaani wewe ni kula tu ,ukipigiwa simu baada ya kukata ,kula
Ukipiga umbea kidogo uwe na likipande la muhogo unalisukuma ado ado yaani mpaka taya za meno ziume kwa shughuli ya uchakataji
Jana nimeibiwa viatu vyangu hapa msikiti wa uyole ,hivi unaweza kuwa unawajua vibaka wa hapa nianze kupita kuwaomba wanirudishie viatu vyangu ?Japo ratiba yangu inasemaga nilale sa tisa ila nikawa napasahau hom
Enhee huku sawa ulikua unasema tufanyeje πKitambo sana aiseeee kumbe mpo...π
Basi njoo huku kwenye kukata ugimbi ,yaani bia mbili na nyama kilo moja ,hiyo haipiti hata wiki mbili tutashindwa kujua mbele ni wapi na nyuma ni wapi hivyo iblnabidi upige hivyo huku unafanya mazoezi ya kukata tumbowe unataka nifutuke sasa niwe kama nguruwe πππ ndo kula gani hiyo jamni,, kwanza kula chakula kimoja masaa mengi au kila siku kinachosha mno
hapo kweny mazoezi ni mvivu wa kutupwa labda nipate mtu wa kunivuruta mpaka gymπ€£,, pekeangu siwezi aseeeBasi njoo huku kwenye kukata ugimbi ,yaani bia mbili na nyama kilo moja ,hiyo haipiti hata wiki mbili tutashindwa kujua mbele ni wapi na nyuma ni wapi hivyo iblnabidi upige hivyo huku unafanya mazoezi ya kukata tumbo
Ahahahahha we jau..Jana nimeibiwa viatu vyangu hapa msikiti wa uyole ,hivi unaweza kuwa unawajua vibaka wa hapa nianze kupita kuwaomba wanirudishie viatu vyangu ?
Maana nilipewa zawadi na shemeji
Nilikua naomba lakini π€Enhee huku sawa ulikua unasema tufanyeje π
Wewe huna gharama kama bia mbili tayari ,basi asubuhi njoo zenji ,nikubebeshe kreti mbili ukanywe mwezi mzima .hapo kweny mazoezi ni mvivu wa kutupwa labda nipate mtu wa kunivuruta mpaka gymπ€£,, pekeangu siwezi aseee
mi sio mnywaji ndo najifunza yani bia mbili nishalewa naanza kusinzia
Sheikh koyoga jau nilipomsimulia kaanza kucheka eti na wewe unaibiwa ? Ananipanga eti siku nyingine nipite kwa fundi viatu upande wa pili kule nimuachie viatu aendelee kubrashi na mimi nivae zile ndala zenye rangi tofauti nizame msikitiniAhahahahha we jau..
Inakuaje ukaweka viatu pamoja.
Sheria ukivua viatu msikitini kimoja weka kuleeeeeeee
Kingine wekaaaa kuleeeee an hata huyo mwizi mpaka aanze kutafuta tayari watu washafika ππππ
Ngoja nimcheki hapa shekhe koyoga anaweza kukusaidia ahahah
Kuna sehemu nyingine nimekutag angalia notification nadhani the loungeNilikua naomba lakini π€
Siku moja tukutane tufanye maombi.
Either mimi nije huko au wewe uniite mimi nije huko
hapendi ninywe maana huwa nazima kwa flying fish mbili tuπ€£ wengine wakinywa wanapata mood ya kuchangamka ila mimi napata usingizi mzito yani mambo inakua taflaniWewe huna gharama kama bia mbili tayari ,basi asubuhi njoo zenji ,nikubebeshe kreti mbili ukanywe mwezi mzima .
Basi uweke zoezi la kila ukinywa ukutane na shemeji afanye yake huku kiuno kikiwa kinakatwa haswa ili usije kukosa umbo halisia kwa ugimbi