win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,110
- 31,037
kwa kweli ngoja nikaribie kwenye ufalme wakoKaribu kwangu huko kwingine utasumbuka tu
kwa kweli ngoja nikaribie kwenye ufalme wakoKaribu kwangu huko kwingine utasumbuka tu
Oooh sawaNdio mkuu ,haujawahi kabisa ? Inaitwa mchakamchaka kwa kiswahili na jogging kwa kiingereza 😁😁
wale wa mwezi mchanga bado wapo machoWatoto wamelala tayari.
We danganyika tu,mie nakucheki ,unajichelewesha, hahahahakwa kweli ngoja nikaribie kwenye ufalme wako
sidanganyi tenaaa, na sirudii kujicheleweshaWe danganyika tu,mie nakucheki ,unajichelewesha, hahahaha
Hata sijaelewa!wale wa mwezi mchanga bado wapo macho
Hahahaha, mlango uko wazisidanganyi tenaaa, na sirudii kujichelewesha
mlango uko wazi ila bus limejaa😆Hahahaha, mlango uko wazi
Akina sisi hao ngoja nilale ,maana naona na Mangi mwenyewe anafunga hapawale wa mwezi mchanga bado wapo macho
Bus Lina dereva tu ,halina konda wala kondaktamlango uko wazi ila bus limejaa😆
sawa ukawe na usiku mwema,, asante kwa muda wako rafikiAkina sisi hao ngoja nilale ,maana naona na Mangi mwenyewe anafunga hapa
nimeipend👏Bus Lina dereva tu ,halina konda wala kondakta
AHSANTE 🙏 na wewe naondoka nikiacha ujumbe wa MWEZI Augustsawa ukawe na usiku mwema,, asante kwa muda wako rafiki
👏👍nimeipend👏
eh ujumbe upi?AHSANTE 🙏 na wewe naondoka nikiacha ujumbe wa MWEZI August
Bus halina dereva,konda wala kondakta,linarudi yard kulalaeh ujumbe upi?
Nyoshi El Sadat ndio Yuko stage hapa Makumbusho2:22