jirani kumekucha☺️Nije niwe mto wako nakuhakishia utalala unono 😎
siko tayali kwa kweli, maana huku nakula na kulala bure😀Toka hapo kwa shemeji.
Kabisa Huku Nilipooo NI Doro Doromon...2240... Kukosa usingizi season 1 episode 4.
Wadau kwema huko mlipo?
Poleni na mapambano ya maisha.
Alhamdulilah...Uzima upo kabisa ,hela tu ndio changamoto , na bei ya wese 😁😁Kabisa Huku Nilipooo NI Doro Doromon...
Judge Mentor 😁 Only God 🙏Alhamdulilah...Uzima upo kabisa ,hela tu ndio changamoto , na bei ya wese 😁😁
Amina fazaJudge Mentor 😁 Only God 🙏
Tutakumiss piakiukweli nimechokaa nahisi usingizi sitamani kuingia lindo ila sasa nitakula nini,, ngoj niendelee kukaza nisije nikakazwa 🚶♀️
hii wiki nimepata cha kunikeep busy nawamiss sana
YoteMaisha....nipo namsaidia shem kuuza visungura hapa stendi basi kuna tu vijana tunanimezea mate na tumekonda mpka huruma dah😪
yaaani acha tuYoteMaisha....