ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,259
- 40,896
Shusha mkekaš2126hrs
Shusha mkekaš2126hrs
Ila mapenzi uwiiiiWADAU, KAMA WEWE KILA SIKU UKIWA HEWANI LAZIMA UCHUNGULIE MTAA WA USIKU WA MANANE, BASI JUA WEWE NI MTU WA NGUVU SANA. Unastahili heshima zote za mtaa huu.
Leo hebu tuzungumzie kidogo kuhusu kuachwa kwenye ishu nzima ya mapenzi. Nimehamasika kuandika mada hii kutokana na situation ya mdau wetu mmoja. Jana kwenye night kali, mwamba alifunguka kwamba baby mama kainua nanga na kusepa. Sasa homeboy ameachwa hewani, hajui afanye nini wala aanzie wapi.
Ana acwa peke ake sisi tutoeš¤£Kwanza kabisa, pole sana homeboy. Mapenzi ndivyo yalivyo. Wewe si wa kwanza kuachwa, wala hautakuwa wa mwisho. Hapa wakati unasoma hizi notes, kuna mtu mahali fulani anaachwa, mwingine anaachana, mwingine anapambana kuokoa mahusiano yake.
Yes š„Huo ndio ulimwengu wa mapenzi ulivyo.
Kitu cha kwanza, usijilaumu kwa sababu umeachwa. Kuachwa haimaanishi wewe ni mtu mbaya, wala haimaanishi hukufanya jambo lolote sahihi. Ukweli ni kwamba si kila mtu tunayekutana naye kwenye maisha yetu atakuwa nasi for a lifetime.
ExactlyKuna watu unakutana nao ili ujifunze kitu. Kuna watu unakutana nao ili wakupatie uzoefu mpya. Kuna wengine wanakuja na kutufundisha namna ya kupenda, kuvumilia, kuwasiliana, na hata kujitambua zaidi.
So sad šBaada ya kupitia yote hayo, unakuwa umefuzu darasa jingine la maisha. Unakuwa bora zaidi kwenye ulimwengu wa malavidavi. Hata misukosuko ikitokea na jahazi likayumba kidogo, unajua namna ya kujishikilia na kuendelea na safari.
Kitu kingine kinachouma sana baada ya kuachwa ni gharama ulizotumia kwa ajili ya huyo mpenzi. Kadri ulivyowekeza zaidi, kihisia, kimawazo na kifedha, ndivyo wakati mwingine machungu yanavyoweza kuwa makubwa zaidi.
HakikaLakini kumbuka hili, pesa inaweza kutafutwa tena. Amani ya moyo wako ni muhimu zaidi. Usiruhusu kile ulichotumia kwa mtu kikufanye uendelee kushikilia kitu ambacho tayari kimekufa. Linda moyo wako, maana huo ni mmoja tu.
Umemaliza ila maloveeeeHalafu kuna zile ahadi tulizokuwa tukipeana:
"Tutakuwa pamoja siku zote."
"Sitakuacha kamwe."
"Wewe ndiye wa mwisho."
Sasa unapoachwa unaanza kujiuliza, āKwanini kanifanyia hivi wakati aliniambia hataniacha?ā
Ukweli ni kwamba, nyakati nzuri huleta hisia nzuri na maneno mazuri. Mlipokuwa kwenye kilele cha mapenzi yenu, huenda maneno hayo yalikuwa ya kweli kwa wakati huo. Lakini maisha hubadilika, hisia hubadilika, na wakati mwingine watu hubadilika pia.
Sasa, nini cha kufanya baada ya kuachwa?
Kwanza, kubali kwamba umeachwa. Usitafute justification nyingi sana. Usianze kusema, āLabda ningefanya hivi...ā au āKama ningesema vile, labda asingoniacha.ā Ukianza kutafuta sababu elfu moja, unajichelewesha mwenyewe kupona.
Kubali tu. Umeachwa. Period.
Pili, shukuru kwamba imetokea mapema. Inawezekana kwa sasa unaona kama dunia imeanguka, lakini fikiria kama ungeendelea kuwekeza zaidi kwake, kihisia, kimawazo na kifedha. Maumivu yangekuwa makubwa zaidi huko mbeleni.
Wakati mwingine kuachwa ni maumivu ya leo yanayokuokoa na maumivu makubwa zaidi ya kesho.
Tatu, tambua kwamba huyo si mtu wa mwisho duniani. Kama uliweza kumpata yeye, basi kuna uwezekano mkubwa wa kumpata mwingine. Na huenda huyo mwingine akawa bora zaidi, mwenye kukuthamini zaidi na anayejua thamani yako.
Kwa hiyo take your time. Usikimbilie mahusiano mapya kwa sababu tu unataka kuziba pengo la mtu aliyekuacha. Jiponye kwanza. Hakuna haraka. Kila kitu kitakuwa sawa.
Nne, tambua thamani yako. Wewe una thamani. Unastahili kupendwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Mtu aliyekuacha huenda hakujua thamani yako, lakini hilo halimaanishi kwamba huna thamani.
Kwa hiyo, don't give a *** kwa mtu ambaye hathamini utu wako. Usitumie maisha yako yote kumlazimisha mtu aone thamani ambayo wewe mwenyewe unajua unayo.
Tano na mwisho, muda ni tiba.
Usijilazimishe kupona kwa siku moja. Take your time. Lia kama unataka kulia, kaa kimya kama unahitaji utulivu, lakini usijisahau kabisa kwa sababu ya mtu aliyekuacha.
Na kama inawezekana, usifuatilie maisha yake kila dakika. Usikae kuangalia yuko na nani, anaenda wapi, ameandika nini au ameweka picha gani. Weka mbali vitu vinavyokurudisha kila mara kwenye kumbukumbu za zamani.
Kumbuka, maisha lazima yaendelee.
Umeachwa, lakini hujaisha.
Umeumizwa, lakini hujapotea.
Umevunjika moyo, lakini bado unaweza kuujenga tena.
Mpe hai ma mtu homie
Malaveee ni shida sana my dearIla mapenzi uwiiii
Ana acwa peke ake sisi tutoeš¤£
Yes š„
Exactly
So sad š
Hakika
Umemaliza ila maloveeee
Hayajawahi kumuacha mtu salama
Mpe hai ma mtu homie
Mie nime staff na enjoy laifuušMalaveee ni shida sana my dear
Huyu hapa Bob Marley
Anakwambia
"don't worry"
uende kwa wote ambao wameumizwa kimapenzi, watakuwa sawa tu
View: https://youtu.be/EYi5aW1GdUU?si=EDh_-V4rVtzN8OJE
Au umepumzika tu mtu wangu,kustafu hiyo vipiiiiMie nime staff na enjoy laifuuš
Poa chiefMkuu nimeku-PM kuna issue tuzungumze
Vp hiyo vip sasa ndio hivyo šAu umepumzika tu mtu wangu,kustafu hiyo vipiiii
Nakataa sio kweli,labda umepumzika tu baada ya kipigwa tukioššVp hiyo vip sasa ndio hivyo š
Acha basi š¤£Nakataa sio kweli,labda umepumzika tu baada ya kipigwa tukiošš
Nashindwa hata la kuzungumza nikikumbuka gharama na muda niliyoungia kulinda mahusiano... Sijui Nini Cha kuongea, nashindwa kusema ila shukuran sana kiongozi. šWADAU, KAMA WEWE KILA SIKU UKIWA HEWANI LAZIMA UCHUNGULIE MTAA WA USIKU WA MANANE, BASI JUA WEWE NI MTU WA NGUVU SANA. Unastahili heshima zote za mtaa huu.
Leo hebu tuzungumzie kidogo kuhusu kuachwa kwenye ishu nzima ya mapenzi. Nimehamasika kuandika mada hii kutokana na situation ya mdau wetu mmoja. Jana kwenye night kali, mwamba alifunguka kwamba baby mama kainua nanga na kusepa. Sasa homeboy ameachwa hewani, hajui afanye nini wala aanzie wapi.
Kwanza kabisa, pole sana homeboy. Mapenzi ndivyo yalivyo. Wewe si wa kwanza kuachwa, wala hautakuwa wa mwisho. Hapa wakati unasoma hizi notes, kuna mtu mahali fulani anaachwa, mwingine anaachana, mwingine anapambana kuokoa mahusiano yake.
Huo ndio ulimwengu wa mapenzi ulivyo.
Kitu cha kwanza, usijilaumu kwa sababu umeachwa. Kuachwa haimaanishi wewe ni mtu mbaya, wala haimaanishi hukufanya jambo lolote sahihi. Ukweli ni kwamba si kila mtu tunayekutana naye kwenye maisha yetu atakuwa nasi for a lifetime.
Kuna watu unakutana nao ili ujifunze kitu. Kuna watu unakutana nao ili wakupatie uzoefu mpya. Kuna wengine wanakuja na kutufundisha namna ya kupenda, kuvumilia, kuwasiliana, na hata kujitambua zaidi.
Baada ya kupitia yote hayo, unakuwa umefuzu darasa jingine la maisha. Unakuwa bora zaidi kwenye ulimwengu wa malavidavi. Hata misukosuko ikitokea na jahazi likayumba kidogo, unajua namna ya kujishikilia na kuendelea na safari.
Kitu kingine kinachouma sana baada ya kuachwa ni gharama ulizotumia kwa ajili ya huyo mpenzi. Kadri ulivyowekeza zaidi, kihisia, kimawazo na kifedha, ndivyo wakati mwingine machungu yanavyoweza kuwa makubwa zaidi.
Lakini kumbuka hili, pesa inaweza kutafutwa tena. Amani ya moyo wako ni muhimu zaidi. Usiruhusu kile ulichotumia kwa mtu kikufanye uendelee kushikilia kitu ambacho tayari kimekufa. Linda moyo wako, maana huo ni mmoja tu.
Halafu kuna zile ahadi tulizokuwa tukipeana:
"Tutakuwa pamoja siku zote."
"Sitakuacha kamwe."
"Wewe ndiye wa mwisho."
Sasa unapoachwa unaanza kujiuliza, āKwanini kanifanyia hivi wakati aliniambia hataniacha?ā
Ukweli ni kwamba, nyakati nzuri huleta hisia nzuri na maneno mazuri. Mlipokuwa kwenye kilele cha mapenzi yenu, huenda maneno hayo yalikuwa ya kweli kwa wakati huo. Lakini maisha hubadilika, hisia hubadilika, na wakati mwingine watu hubadilika pia.
Sasa, nini cha kufanya baada ya kuachwa?
Kwanza, kubali kwamba umeachwa. Usitafute justification nyingi sana. Usianze kusema, āLabda ningefanya hivi...ā au āKama ningesema vile, labda asingoniacha.ā Ukianza kutafuta sababu elfu moja, unajichelewesha mwenyewe kupona.
Kubali tu. Umeachwa. Period.
Pili, shukuru kwamba imetokea mapema. Inawezekana kwa sasa unaona kama dunia imeanguka, lakini fikiria kama ungeendelea kuwekeza zaidi kwake, kihisia, kimawazo na kifedha. Maumivu yangekuwa makubwa zaidi huko mbeleni.
Wakati mwingine kuachwa ni maumivu ya leo yanayokuokoa na maumivu makubwa zaidi ya kesho.
Tatu, tambua kwamba huyo si mtu wa mwisho duniani. Kama uliweza kumpata yeye, basi kuna uwezekano mkubwa wa kumpata mwingine. Na huenda huyo mwingine akawa bora zaidi, mwenye kukuthamini zaidi na anayejua thamani yako.
Kwa hiyo take your time. Usikimbilie mahusiano mapya kwa sababu tu unataka kuziba pengo la mtu aliyekuacha. Jiponye kwanza. Hakuna haraka. Kila kitu kitakuwa sawa.
Nne, tambua thamani yako. Wewe una thamani. Unastahili kupendwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Mtu aliyekuacha huenda hakujua thamani yako, lakini hilo halimaanishi kwamba huna thamani.
Kwa hiyo, don't give a *** kwa mtu ambaye hathamini utu wako. Usitumie maisha yako yote kumlazimisha mtu aone thamani ambayo wewe mwenyewe unajua unayo.
Tano na mwisho, muda ni tiba.
Usijilazimishe kupona kwa siku moja. Take your time. Lia kama unataka kulia, kaa kimya kama unahitaji utulivu, lakini usijisahau kabisa kwa sababu ya mtu aliyekuacha.
Na kama inawezekana, usifuatilie maisha yake kila dakika. Usikae kuangalia yuko na nani, anaenda wapi, ameandika nini au ameweka picha gani. Weka mbali vitu vinavyokurudisha kila mara kwenye kumbukumbu za zamani.
Kumbuka, maisha lazima yaendelee.
Umeachwa, lakini hujaisha.
Umeumizwa, lakini hujapotea.
Umevunjika moyo, lakini bado unaweza kuujenga tena.
Alamsiki, wadau wa Usiku wa Manane.
Cc: The ghost writer
Kwa nature yako ya kupenda mziki mzuri wa taratibu usio na kelele huwezi kuwa na gubu kabisa,labda tu kama umaeamua kuchill tu just kujipa mudaAcha basi š¤£
Nimepmzika kwa sababu nina gubu baasiii
Unaanza kunifahamu etš¤£Kwa nature yako ya kupenda mziki mzuri wa taratibu usio na kelele huwezi kuwa na gubu kabisa,labda tu kama umaeamua kuchill tu just kujipa muda
Natulia homie, shida yako una akili mingi sasa ukiwa kwenye mapenzi unatupa kule unatumia hisia tuš¤£š¤£ achana na akiliUnaanza kunifahamu etš¤£
Homie tuliaš
Wewe mwenyewe mpka anaandika hivi hizo ni akili tupuš¤£š¤£šNatulia homie, shida yako una akili mingi sasa ukiwa kwenye mapenzi unatupa kule unatumia hisia tuš¤£š¤£ achana na akili
Unatumia akili kuwaponya watu nyoyo zao,ila ukiingia kwenye mapenzi unaweka akili pembeni homie,endelea kutumia akili utakuwa single daily halafu unajifanya unainjoi kuwa singleššWewe mwenyewe mpka anaandika hivi hizo ni akili tupuš¤£š¤£š
Sasa homie kama na enjoy nisiseme𤣠we vp mzeeendelea kutumia akili utakuwa single daily halafu unajifanya unainjoi kuwa singlešš
Gudinait bhana ngoja nipumzishe fuvu mie,mapenzi mapenzi,mapenzi bongoššSasa homie kama na enjoy nisiseme𤣠we vp mzee