JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ok hata mimi kuna kipindi nilikuwa natumia simu kuongea masaa mpaka nasikia kikianza kuzingua natulia kwanza naachana na simu. Inabidi uanze kutafuta replacement kama inawezekana taratibu taratibu 😃😃
asante kwa ushauri ngoja nijitahidi kupunguza ila sidhani kama nitaweza maana ndo faraja yangu namba
 
Nipo macho natafakari mambo ya dunia huku nikikumbukia maisha yangu,huku nikimshukuru Mola wangu kuwa sasa nina 65 huku nikiwa na afya njema,nguvu za kutosha kabisa.Shukrani kwa wazazi wangu ambao wako mbele ya haki,kaka na dada zangu walionilea,waalimu wangu kutokea shule ya msingi hadi vyuo vikuu mbalimbali nilivyopitia afrika,ulaya na marekani,shukrani kwa wake zangu 2 na rafiki zangu wote
 
Back
Top Bottom