It looks like we have got the same test, slow jams music, ila umetisha sijui kifaransa hichoHapo kwenye taraabu nimecheka aisee
Huo mziki haunivutii
Nipo hapa👇
Pole my dear,utakuwa sawa tu,karibu mtaani kwetu usiku wa mananekichwa kinauma
asante nishakaribia kaka mpolePole my dear,utakuwa sawa tu,karibu mtaani kwetu usiku wa manane
Yes sipendi kelele kabisaIt looks like we have got the same test, slow jams music, ila umetisha sijui kifaransa hicho
Asante kwa compliment hahaha, kazini kwetu kuna dada ananiambia ningekuwa mwalimu wanafunzi wangeinjoi sana kwa upole wnguasante nishakaribia kaka mpole
Ushakutana na boda boda ambao wanasikiliza singeli wewe😂😂😂 hata sijui wanainjoi nini ni makelele tuYes sipendi kelele kabisa
Chukua hii👇
Siwezi kupanda boda boda ya namna hiyo hata ikiwa ni bureUshakutana na boda boda ambao wanasikiliza singeli wewe😂😂😂 hata sijui wanainjoi nini ni makele tu
Na kismart kishashushiwa tayar kwa tumbo hatar sanaSiwezi kupanda boda boda ya namna hiyo hata ikiwa ni bure
Maana lazima atakua amesokota vinywele kama tambi kicwani
Hivyo sipandi 😆Na kismart kishashushiwa tayar kwa tumbo hatar sana
Shalom karibu chiefOya wale wa usiku mnene... shalom shalom
Asante mwenyekiti.. Naomba kutoa taarifa.Shalom karibu chief
Karibu chiefAsante mwenyekiti.. Naomba kutoa taarifa.
😅😅 naungana na huyo dadaAsante kwa compliment hahaha, kazini kwetu kuna dada ananiambia ningekuwa mwalimu wanafunzi wangeinjoi sana kwa upole wngu
Shukran.Kumekuwa na tabia ya watu wachache huku ndani kuingia kimyakimya na kutoka kimya kimya bila kusaini daftari la mahudhurio. Tunaomba wote waliofanya hivyo wajirekebishe kabla hatujafanya maamuzi mazito 😁😁😁Karibu chief
Umetisha sana chief, naamini wamekusikia kabla hatua kali hazijachukuliwa dhidi yao🤣🤣Tunaomba wote waliofanya hivyo wajirekebishe kabla hatujafanya maamuzi mazito 😁😁😁
Pole sana, uje uende hospitali ukajue tatizo la kufanya kichwa kiume mara kwa mara ni ninikichwa kinauma