Najua lakini wanaboa😟Za watoto no Cartoons 😃😃hizi hata maudhui yake nyingine ni 18+ plus
We nyoko kweli😂08:06.
😎
Huku ni usiku ujue 😎We nyoko kweli😂
Uko abroad sio?Huku ni usiku ujue 😎
Hapana niko hapa nchini.Uko abroad sio?
Ulitaka tuangalie nini sasa 😅Mnaniudhi na haya ma anime yenu😏
Series😂Ulitaka tuangalie nini sasa 😅
Ningeshangaa kG sikuhizi ni njeHapana niko hapa nchini.
Njoo nazo homeSeries😂
Nastream zangu online leo ni humu tuuNjoo nazo home
Sasa hivi ni usiku huku Gambush.Ningeshangaa kG sikuhizi ni nje
Uniletee fisi mmoja basi😜Sasa hivi ni usiku huku Gambush.
Iku ile nilikuuliza sehemu ambapo wanauza fisi uligoma kunitajia, sasa Leo unataka nikuletee. Kweli?!Uniletee fisi mmoja basi😜
Si ndio ziko huko gamboshi, au wewe umeenda tu ioa hujui ni viwanja vya watu vya kazi hivyo?😂Iku ile nilikuuliza sehemu ambapo wanauza fisi uligoma kunitajia, sasa Leo unataka nikuletee. Kweli?!
Kama ulikuwa unajua kwa nini siku ile hukunitajia sehemu hii? Au ulitaka kunipiga tu cha juu.Si ndio ziko huko gamboshi, au wewe umeenda tu ioa hujui ni viwanja vya watu vya kazi hivyo?😂
Basi nisamehe, uwinga huu utatuoa roho🤭Kama ulikuwa unajua kwa nini siku ile hukunitajia sehemu hii? Au ulitaka kunipiga tu cha juu.
Hahahaha 🤣,unanilingishia eehNastream zangu online leo ni humu tuu