secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,202
- 43,245
Afadhali umekiri kosa lako.Basi nisamehe, uwinga huu utatuoa roho🤭
Kwasababu bado uko huko nunua basi wawili Unigee mmoja sina usafuri mwanang🙄
Ok, nukuletee fisi jike au dume?
Afadhali umekiri kosa lako.Basi nisamehe, uwinga huu utatuoa roho🤭
Kwasababu bado uko huko nunua basi wawili Unigee mmoja sina usafuri mwanang🙄
Ndio, tafuta movie uenjoy maisha weekend ndio inaisha hivyoo😁Hahahaha 🤣,unanilingishia eeh
Niletee dume, nina kazi nalo😎Afadhali umekiri kosa lako.
Ok, numetee fisi jike au dume?
Nalijua na kulitambua hilo! 😎Niletee dume, nina kazi nalo😎
Ewaaa!🤗Nalijua na kulitambua hilo! 😎
Movies + totoz = Mitungi,mikasiNdio, tafuta movie uenjoy maisha weekend ndio inaisha hivyoo😁
Mimi hapo nipe hiyo viwili plus kishungi, totoz na mikas kaa nao wewe pembeni🤗Movies + totoz = Mitungi,mikasi
🔥Ewaaa!🤗
HahahahaMimi hapo nipe hiyo viwili plus kishungi, totoz na mikas kaa nao wewe pembeni🤗
Sema kijana secretarybird ndo mfano mzur 😂😂Sio poa mkuu ila ni za masaa tu Kama onyo
Nilimuonya ndugu yangu dk mbili mbele wakamla kichwa 😂Sema kijana secretarybird ndo mfano mzur 😂😂
00:040000
Mpaka mnatia huruma00:10 Argentina tunapelekewa moto🙌
Nalala zangu mimiMpaka mnatia huruma