Usijali yupo jeyfu atakupitia bi dadausinipite
Geuza godoro weweUsiku wa leo mrefuu.
Kulala kote nilipolala nashtuka hapa ndo kwanza saa 6.
Huyo atakua shabiki wa Chelsea usiangaike ndivyo walivyoImagine mtu anakoroma mpaka chumba cha tatu mnaskia mngurumo🤔
Najuta kukaribisha shabiki wa Chelsea😒Huyo atakua shabiki wa Chelsea usiangaike ndivyo walivyo
Ni muda sasa wa walimu kuamka kuwahi kazini wasisingizie folenNajuta kukaribisha shabiki wa Chelsea😒
Everlasting students; skuhiz wanapikipiki za mkopoNi muda sasa wa walimu kuamka kuwahi kazini wasisingizie folen
Na mara nyingi ni vibongeImagine mtu anakoroma mpaka chumba cha tatu mnaskia mngurumo🤔