Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
Tatizo lako huwezi kutofautisha mambo ya bayana na sirini[emoji6]Afadhali umevuka salama, kwa jinsi nilivyokuacha mwaka jana sikutegemea aisee.... Ila mkakati wetu ule tuliopanga kwa 2018 wa kuacha mvinyo naomba tuutimize. Binafsi zile balimi 50 zilikuwa za kuaagia mwaka na kuaga ulevi kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Na kweli, bahati mbaya hazifai kurewaindi.Nafungua geti mapemaa!! Siku zina yoyoma tu
The last man standing wa last year.[emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji702] [emoji671]
Cc Maserati[emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji702] [emoji671]
Naam!The last man standing wa last year.
Naomba bia...happy new yrNjooni huku wote tukunywe hadi asubuhi
Happy new year man. Natumaini huduma ya ulinzi getini itaimarika maradufuNaam!
Me sijui hiko kichina bhan..leo naona umekuja kwa fujo ukabidhiwe funguo
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]Naomba bia...happy new yr
[emoji15] [emoji15]Naomba bia...happy new yr
Same to you dearHappy new year..[emoji257][emoji257]
Ata wa kike??Nimechoka kulala peke yangu jaman kama kuna popo aje hapa tupeane kampany ya story mbili tatu nimtumie uber
Hahaha, huwa nina matatizo ya kusahau sahau, labda unipe kampan ya kunishikia funguo[emoji39] [emoji41]Me sijui hiko kichina bhan..leo naona umekuja kwa fujo ukabidhiwe funguo
Ili aweze kukesha vema cunajua gahawa hukata usingiz[emoji15] [emoji15]
Kasema anakunywa gahawa bhana sio Maji ya dhahabu[emoji3]