Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,580
Huwa unanifurahisha sana my dear yaani kinyoonge🤣🤣Sawa
Huwa unanifurahisha sana my dear yaani kinyoonge🤣🤣Sawa
Enjoy homie🤣🤣Huwa unanifurahisha sana my dear yaani kinyoonge🤣🤣
Usikute Winnie wewe ni tabibu unaokoa maisha ya watu.pakuche tu niende nyumban nika relax huuuuh am so fucking tired 😴😫
si kweli, mi mwenyew nahitaji kuokolewa😩Usikute Winnie wewe ni tabibu unaokoa maisha ya watu.
Tatizo ulinikatalia lile ombi langu.si kweli, mi mwenyew nahitaji kuokolewa😩
kwanini utunze kumbukumb kias hicho😄😄Dah, umenishtua vibaya sana. Kumbe ni wewe... Nilijua tu.
Aisee.
Tatizo mkiambiwa ukweli mnakataanikikumbuka ushawahi kunidanganya unaitwa J sina ham mie😄😄
wacha tu niteseke kuliko kukubali ombi la mtu muongo
ukweli upiTatizo mkiambiwa ukweli mnakataa
Uhalisia wa mtuukweli upi
Nilikushtukia kule selfika ukanikwepa.kwanini utunze kumbukumb kias hicho😄😄
mi huwa naamini kile mtu anacho niambia yeye mwenyew ila nikishagundua kanidanganya basi tunaishia hapo hapoUhalisia wa mtu
sawa kafute na wew,,Nilikushtukia kule selfika ukanikwepa.
Masikini Winnie wangu uliniponyoka.
Sijakudanganya chochote. Haya ukafute hapo juu basi🥲
Wewe hujawahi kudanganyami huwa naamini kile mtu anacho niambia yeye mwenyew ila nikishagundua kanidanganya basi tunaishia hapo hapo
"Ibumex" dawa ya maumivu.sawa kafute na wew,,
mi sijakukimbia bado nipo
sijawahi labda kuongea utani and huwa najitahidi kuongea ukweli kabla muhusika hajagunduaWewe hujawahi kudanganya
ni mkorofi nyuma ya keyboard tu ila mi sina ujanja kabisa kwenye maisha halisi"Ibumex" dawa ya maumivu.
Siku hizi unajifanya mkorofi wee...
Haya bwana Winnie, mimi sijawahi kukudanganya chochote.ni mkorofi nyuma ya keyboard tu ila mi sina ujanja kabisa kwenye maisha halisi