JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

The "Fuel" Trap: Kosa la Milioni 40 Ambalo Wanaume Wengi Wanalifanya​

Jana on my way home nikiwa ndani ya mchuma (daladala), kulikuwa na muvi ya bure kati ya suka na konda wake. Story ilianza baada ya binti mmoja mrembo hivi kupanda, na sekunde sifuri tu, dereva akawa kashazama kwenye kioo cha huyo mtoto.

Konda kuona vile akashtuka akamchana: "Suka, huyo si ni kama mwanao bwana?"

Suka akacheka kijanja akamjibu: "Kwani haniwezi kwani?"

Sisi abiria yetu ikawa masikio tu na kucheka. Lakini pointi ya msingi ilikuja baada ya pale. Suka akatupa somo moja zito sana, akasema:

"Ukiishi kwa stress za kuogopa kuibiwa mwanamke, utakonda au utakufa mapema bure. Mwanamke hata ukimnunulia ndinga ya milioni 40, bado atamthamini yule anayemnunulia mafuta ya gari kuliko wewe uliyemwaga mtonyo wa kununua chuma yenyewe."

Hesabu za Wanawake: Kwa Nini Milioni 40 Ni Sawa na Chocolate ya Jero?​

Wadau you know what? Kwenye saikolojia ya wanawake, kila zawadi unayotoa—iwe kubwa au ndogo—ina pointi moja tu. Let me break it down:

  • Ukihonga gari = Maksi 1
  • Ukimnunulia chocolate = Maksi 1

Kama hujaelewa hadi hapo, bas itakuwa vizuri zaidi.

Siri iko hapa: Zawadi ya muendelezo (consistency) ndio inayobeba uzito. Wewe umemnunulia gari la milioni 40, umepata pointi yako moja, kisha ukakaa pembeni kusubiri sifa. Mimi kila siku namnunulia mafuta ya elfu 20, 20, 20... Je, baada ya mwezi mmoja nani atakuwa na pointi nyingi zaidi? Ni wazi mimi wa mafuta ndio nitakuwa The Boss kwenye moyo wake. Take it or leave it!

Never Think Mtonyo Wako Utamzuia Asiliwe​

Fanya unachotaka kumfanyia mwanamke kwa mapenzi yako tu, lakini usikariri kwamba ukubwa wa pochi yako ndio utakuwa mlinzi wa huyo mwanamke asiliwe na wajuba.

Kuna story ilivuma juzi kati hapa town kutoka kwa Dada wa Taifa; kuna pisi ilikuwa inalipiwa apartment ya kifahari hapa hapa Daslamu, na juu anapewa milioni 20 kila mwezi za matumizi. Lakini mwisho wa siku, wajuba waliruka nayo kirahisi sana.

Sasa kama mtu wa milioni 20 anachezewa faulo, wewe unayehonga hela zako za mawazo na mawazo ya kodi ya meza, ndio unataka kuleta wivu wa kizamani? Who are you?

Mwanaume mashine, sio ATM.

Alamsiki!
 
The "Fuel" Trap: Kosa la Milioni 40 Ambalo Wanaume Wengi Wanalifanya​

Jana on my way home nikiwa ndani ya mchuma (daladala), kulikuwa na muvi ya bure kati ya suka na konda wake. Story ilianza baada ya binti mmoja mrembo hivi kupanda, na sekunde sifuri tu, dereva akawa kashazama kwenye kioo cha huyo mtoto.

Konda kuona vile akashtuka akamchana: "Suka, huyo si ni kama mwanao bwana?"

Suka akacheka kijanja akamjibu: "Kwani haniwezi kwani?"

Sisi abiria yetu ikawa masikio tu na kucheka. Lakini pointi ya msingi ilikuja baada ya pale. Suka akatupa somo moja zito sana, akasema:

Hesabu za Wanawake: Kwa Nini Milioni 40 Ni Sawa na Chocolate ya Jero?​

Wadau you know what? Kwenye saikolojia ya wanawake, kila zawadi unayotoa—iwe kubwa au ndogo—ina pointi moja tu. Let me break it down:

  • Ukihonga gari = Maksi 1
  • Ukimnunulia chocolate = Maksi 1

Kama hujaelewa hadi hapo, bas itakuwa vizuri zaidi.

Siri iko hapa: Zawadi ya muendelezo (consistency) ndio inayobeba uzito. Wewe umemnunulia gari la milioni 40, umepata pointi yako moja, kisha ukakaa pembeni kusubiri sifa. Mimi kila siku namnunulia mafuta ya elfu 20, 20, 20... Je, baada ya mwezi mmoja nani atakuwa na pointi nyingi zaidi? Ni wazi mimi wa mafuta ndio nitakuwa The Boss kwenye moyo wake. Take it or leave it!

Never Think Mtonyo Wako Utamzuia Asiliwe​

Fanya unachotaka kumfanyia mwanamke kwa mapenzi yako tu, lakini usikariri kwamba ukubwa wa pochi yako ndio utakuwa mlinzi wa huyo mwanamke asiliwe na wajuba.

Kuna story ilivuma juzi kati hapa town kutoka kwa Dada wa Taifa; kuna pisi ilikuwa inalipiwa apartment ya kifahari hapa hapa Daslamu, na juu anapewa milioni 20 kila mwezi za matumizi. Lakini mwisho wa siku, wajuba waliruka nayo kirahisi sana.

Sasa kama mtu wa milioni 20 anachezewa faulo, wewe unayehonga hela zako za mawazo na mawazo ya kodi ya meza, ndio unataka kuleta wivu wa kizamani? Who are you?

Mwanaume mashine, sio ATM.

Alamsiki!
Wanawake wa karne hii wameelimika, wengine wana ujuzi, wengi ni wajasiriamali.

Kuhudumia mwanamke ni ujinga.
 
Attachments

  • FB_IMG_1783506324545.jpg
    FB_IMG_1783506324545.jpg
    35.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom