Asante kwa kunienzi zilipendwa wangu! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Unajua nini, mimi ni mgogo sasa kuna zilipendwa wangu alikua anapenda sana kuniita hivyo. kwa hiyo nimeona nimuenzi kwa namna hii.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ulitakiwa uwe unakatikia mbunye saivi[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Fursa ipo natafuta anayejua maunooo alafu ajue kupapasa sio kufinya finyaaa akatoka na kaharage kangu
Afadhali umevuka salama, kwa jinsi nilivyokuacha mwaka jana sikutegemea aisee.... Ila mkakati wetu ule tuliopanga kwa 2018 wa kuacha mvinyo naomba tuutimize. Binafsi zile balimi 50 zilikuwa za kuaagia mwaka na kuaga ulevi kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mithali 20: 1 "Mvinyo hudhihaki, Kileo (balimi) huleta ugomvi na akosae kwa vitu hivyo hana hekima".
HAPPY NEW YEAR (kuna mahali nimeigilizia)
Asante na kwako piaHeri ya mwaka mpya
Abee! Uko poa last man stand alone wa mwaka jana?tHaD!
Kuna nini mkuu?
wewe ni ke kumbeAbee! Uko poa last man stand alone wa mwaka jana?
Nlimaanisha humu watu kama cnn vile mkuu yaan hata ukiwasha saa tisa usiku unakuta kama kawaKuna nini mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana uzi unaitwa usiku wa manane. Ila tofauti ya hapa na CNN nikuwa mchana huu uzi hauonekani kabisaNlimaanisha humu watu kama cnn vile mkuu yaan hata ukiwasha saa tisa usiku unakuta kama kawa
Hili swali huwa naulizwa na wengi....sijajua wapi nakosea au kwa kuwa nimefanana sana na babu yangu? [emoji12] [emoji12] [emoji12]wewe ni ke kumbe