JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaa nani alikufa kwa kupuliza kiko! Kula vituz mzee..

Hahha mimi kiko natoa wapi labda bangi!
Bila kutumia Kiko, baridi huwa linatutesa Wazee wengi sana

Hivi bangi naweza kuanza kutumia katika Uzee huu na isiniletee shida 🤪
Unakula utawala ndani ya mji mkuu sio?
Nimekuja kufatilia pension tu na kusalimia wajukuu 🤭

Bila kuwatembelea hawaji kunisalimia babu yao
 
Bila kutumia Kiko, baridi huwa linatutesa Wazee wengi sana
Poleni😁😁
Hivi bangi naweza kuanza kutumia katika Uzee huu na isiniletee shida 🤪
Ndio kikubwa uwe na kipimo cha kichaa chako tu na uwe na kiasi
Nimekuja kufatilia pension tu na kusalimia wajukuu 🤭
Hahaha wasalimie sana naona mpaka hulali uko na wajukuu mzee
Bila kuwatembelea hawaji kunisalimia babu yao
Hahaa umefanya vizuri babu piga banana hao!
 
Back
Top Bottom