JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usifake Sifa, Utajikausha!

Wiki ya wanaume hapa Usiku wa Manane inaendelea, tunapeana mawili matatu kama kawa, kama dawa. Swali langu la leo ni jepesi: Hivi unajua thamani ya ukweli wako kama mwanaume?

Iko hivi, mzee mzima. Siku ukivunja kabati ukanyuka pamba za maana, si unakuwaga unajijua? Unajua kabisa leo nimepiga pamba niko smart, na hata usipoambiwa na mtu, nafsi yako inajua umenyoosha. Na wewe mdau wangu unajua hivyo vile vile.
Sasa siri ni kwamba: Hata wadada pia wanajijua.

Mtego wa "Attention" wa Kijinga
Kuna hii tabia yetu wanaume, unataka kupiga stori na mtoto mzuri, unatafuta njia ya kuanzisha mazungumzo (attention). Haraka haraka unakimbilia kete ya: "Hey girl, yaani leo umependeza sana!"

Sikiliza nikwambie, home boy: Hakikisha kweli huyo mdada amependeza!
Kwanini? Kwa sababu yeye mwenyewe anajijua tangu anatoka kiooni kwake kama katoka wa kawaida au amepiga pamba za hatari. Hatari kubwa inakuja pale unapotaka attention yake kwa kumsifia kuwa kapendeza, wakati yeye mwenyewe anajijua katoka kawaida sana—labda hata amewahi tu duka la jirani kununua maziwa.

Matokeo Yake: Wewe ni FAKE
Hapo ndipo unapojiharibia, mwamba. Ukifanya hivyo, hautaonekana mstaarabu; utaonekana hauna ukweli (fake). Na formula ya wanawake ipo hivi:

Kama maneno yako ya kawaida tu ni ya uongo na ya kujipendekeza, basi haupo real. Na kama uko fake, haustahili hata sekunde moja ya attention yake kwa sababu hauwezi kuaminiwa. Wanawake wana 'radar' ya asili ya kunusa sifa za mchongo.

Mistari ya Kuchukua Leo;

Kuwa Real: Kama haujui cha kuongea, salimia tu au zungumzia kitu kingine. Ukweli una mvuto kuliko sifa ya uongo.

Sifa Iwe na Uzito: Mdada akipendeza kweli, msifie kutoka moyoni—hapo sifa yako itakuwa na thamani kubwa. Lakini kama katoka kawaida, usilazimishe maneno.
So, kabla hujamwambia mwanamke amependeza, hakikisha amenyooka kweli, la sivyo utazingua big time, home boy!

Thamani yako ipo kwenye msimamo na macho yako yanachoona, usiyumbishe kisa unatafuta nafasi ya kuongea.

Well, that's it for today. See you when you see me!
 
Wavivu kusoma uwe unaweka paragraph moja baada ya nyingine!
 
Ndo maana inashauriwa mwanaume awe na marafiki wa kike.

Ukikaa nao kwa karibu utaona wao ni binadamu tu na sio viumbe kutoka sayari nyingine.

Hivyo utapunguza misifa, haswa kwa mwanamke ambaye bado sio wako.
 
Back
Top Bottom