Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,751
Kwani anataka umkumbuke ili mgundue Nini, 😆ok vizuri
Kwani anataka umkumbuke ili mgundue Nini, 😆ok vizuri
HahahahaPamoja mkuu fuvu lishawaka moto wacha nilale muwe na usiku mwema na mpenzi wako wa mchongo
asante na kwako pia,,, na wew utafute huyo wa mchongo sasa😅Pamoja mkuu fuvu lishawaka moto wacha nilale muwe na usiku mwema na mpenzi wako wa mchongo
sema na wew huwa una maneno khaaa😅😅😅Kwani anataka umkumbuke ili mgundue Nini, 😆
Aaagh, kweli?sema na wew huwa una maneno khaaa😅😅😅
ndio, umejua kunichekesha aseeAaagh, kweli?
Hahahaha basi vzr kama nimekuchekeshandio, umejua kunichekesha asee
sawaa,,Hahahaha basi vzr kama nimekuchekesha
Nilale wakuibe?sawaa,,
eh mbona haujalala kwanza
hakuna wa kuniiba bwana mimi ni wako pekeako, nishatia nanga siambiliki wala sikamatikiNilale wakuibe?
Vzr Sanahakuna wa kuniiba bwana mimi ni wako pekeako, nishatia nanga siambiliki wala sikamatiki
Hahahaha 😂,eti njiwawe usije uka mfukuza njiwa wangu nitakunyonga 😅 mimi sikufahamu hata kidogo😎
Mie sinaga neno, naangalia tuusimsikilize huyo hana tofauti na Nomadiq
si ndiwoo kipenzi😍Hahahaha 😂,eti njiwa
Hahahaha kwakua wasema wewe Sina nenosi ndiwoo kipenzi😍
hata usiangalie, naomba ufumbe macho uzibe na masikio alf akili yako iniwaze mimi pekeangu na watoto wetuMie sinaga neno, naangalia tu