Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,534
- 22,769
Anha hapo sawa nikajua unanifahamu hadi vyungu vyangu vya humu nikimbie mbiosi nimekujulia hapa kwenye huu uzi saivi au
Anha hapo sawa nikajua unanifahamu hadi vyungu vyangu vya humu nikimbie mbiosi nimekujulia hapa kwenye huu uzi saivi au
eh siku yako imeendaje kwanza chibaba wanguNami pamoja nawe daima
hapan sikufaham sana japo huwa nakuona ona na pia I'd yako naifananisha na ya baliqAnha hapo sawa nikajua unanifahamu hadi vyungu vyangu vya humu nikimbie mbio
Tulizana mpz,tupendaneabee
Muda Bado00:25 World Cup
Ivory Coast 2-0 Curaçao
nisha tulizana kwako sifurukutiTulizana mpz,tupendane
Swadakta kipenzi changunisha tulizana kwako sifurukuti
Wanipa Rahanisha tulizana kwako sifurukuti
anha sawa mi ndio sikufahamu kabisa nawajua kina Binti wa zamani AKA Mshangazi kina Mbaga jr Dosho Mallerina na Lamomy ndio kidogo tunapiga piga story jukwaani na jokes hapa na palehapan sikufaham sana japo huwa nakuona ona na pia I'd yako naifananisha na ya baliq
kwahiyo ndo mara yako ya kwanza kuona hii id?anha sawa mi ndio sikufahamu kabisa nawajua kina Binti wa zamani AKA Mshangazi kina Mbaga jr Dosho Mallerina na Lamomy ndio kidogo tunapiga piga story jukwaani na jokes hapa na pale
kama sio wew nitampenda naniWanipa Raha
Game mpaka hapa ishaamuliwa mwaka huu afrika sio kizembe wamepambanaMuda Bado
Sikumbuki kama nishawahi kukuona maybe nishakuona lakini kumbukumbu haipokwahiyo ndo mara yako ya kwanza kuona hii id?
Safi sana,nawatazama hapa CIVGame mpaka hapa ishaamuliwa mwaka huu afrika sio kizembe wamepambana
Ivory Coast
Morocco
South Africa
Nami Sina mwingine zaidi yakokama sio wew nitampenda nani
ok vizuriSikumbuki kama nishawahi kukuona maybe nishakuona lakini kumbukumbu haipo
nafurahi kuskia hivyo,Nami Sina mwingine zaidi yako
Pamoja mkuu fuvu lishawaka moto wacha nilale muwe na usiku mwema na mpenzi wako wa mchongook vizuri