de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,621
- 21,162
Sasa bwana mwanike niombee msamaha kwa shesrise bwana niliiandama ego yake kwa matani akanichukia, si unajua Mm kichwa kigumuuUkweli usemwe!
Sasa bwana mwanike niombee msamaha kwa shesrise bwana niliiandama ego yake kwa matani akanichukia, si unajua Mm kichwa kigumuuUkweli usemwe!
Atalanta Georgiambona uzi una trend wakati saivi ni jioni au wanetu mpo ulaya 😄
ooooh kumbe,, basi hongereniAtalanta Georgia
duh niliona kama umechange!!Hiyo ni logal ya Kanye west album yake ya graduation hauijui?
How mwanikeeduh niliona kama umechange!!
sio kazi yangu ongea na winSasa bwana mwanike niombee msamaha kwa shesrise bwana niliiandama ego yake kwa matani akanichukia, si unajua Mm kichwa kigumuu
mimi niko buzebazeba huku jua lishazama!mbona uzi una trend wakati saivi ni jioni au wanetu mpo ulaya 😄
Ahaa ok unazungumzia avatar? Ni ile ile Sema nimerudisha ya zamani,duh niliona kama umechange!!
vizui!Ahaa ok unazungumzia avatar? Ni ile ile Sema nimerudisha ya zamani,
Sio win bwaan soma vizurisio kazi yangu ongea na win
nilisahau huko giza linaanza saa 9😂mimi niko buzebazeba huku jua lishazama!
eh kuna nini tena 🤔sio kazi yangu ongea na win
Nadhani nimeeleweka vizuri, hakuna kichina hapo!Sio win bwaan soma vizuri
Unaona sasa! na kukicha saa 10 tu jua lishachomoza!nilisahau huko giza linaanza saa 9😂
mpee sijui nini hebu ongea naye msikilize! mi hata sielewieh kuna nini tena 🤔
Omalaga mwanike, kumbe aliwacheneko gukee! Ila umekuja na kuondoka kama umeme wa mikoani😉Nadhani nimeeleweka vizuri, hakuna kichina hapo!
😂😂😂 huko hapanifai, nyie mpo dunia ya wapi sijuiUnaona sasa! na kukicha saa 10 tu jua lishachomoza!
Sina mazoea nae, labda ngoja nakumwitana u. Sugar Mami one Binti wa zamanisio kazi yangu ongea na win
mi sina cha kumpa kwakwelmpee sijui nini hebu ongea naye msikilize! mi hata sielewi