Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,492
- 16,554
Muambie akupe namba ukiona majambazi utamtafuta😆
Mdogo wangu ndio maana nakukubali Sana, unanisaidia kwa kupiga mi assist ya maana.
Hapa kwa afande akizingua ndio mwisho sitakuja kupenda tena☹️
Afande anakuambia ni millenial baddie kama nicki minaj utamuweza huyo?😅
hahaa ila JF bwana...
0008
🎬Eeeeh ee eh eh oya kai, nanii uwe naheshima bana, sawa uwe na heshima ndugu yangu, nakuomba kuwa na heshima Sawa.🫠 #Manara thunder storm