ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,283
- 40,934
Kukesha hakuna jinsiaKwanini wanawake wa JF mnakesha hivi? Inashangaza ujue?
Kukesha hakuna jinsiaKwanini wanawake wa JF mnakesha hivi? Inashangaza ujue?
hahaa ita damu ya Yesu😅nikifumba macho naona mauza na nikifumbua ndo mauza pro max😂😂
saivi umeme ushawaka nipo nachekelea tu hapa😄hahaa ita damu ya Yesu😅
Sasa hivi mnatakiwa muwe "mnawabembeleza" mashemeji walale vizuri hampaswi kuchezea simu kabisa.Kukesha hakuna jinsia
Huyo umekimbilia kuchomeka simu kwenye chaja😅saivi umeme ushawaka nipo nachekelea tu hapa😄
0022
yani huyu,, bado nipo nipoHuyo umekimbilia kuchomeka simu kwenye chaja😅
Siku nikiwa na shemeji yako lazima mimi na yeye tuwe off lineSasa hivi mnatakiwa muwe "mnawabembeleza" mashemeji walale vizuri hampaswi kuchezea simu kabisa.
Mtakuwa mnafanya u-"DJ" sana.Siku nikiwa na shemeji yako lazima mimi na yeye tuwe off line
Tunakua on in bed tu ukiona hivi nipo mwenyewe 🤣🤣
Ngoja ni kutag sehemu 🤣Mtakuwa mnafanya u-"DJ" sana.View attachment 3593169
Toeni code,mko wapi0037 da kidoti To yeye uko poa?
Kuna shangweNgoja ni kutag sehemu 🤣
NikijiweniKuna shangwe
kishap in one and two 0104+Toeni code,mko wapi